URENO YALIWEKA KOMBE REHANI
HomeMichezo

URENO YALIWEKA KOMBE REHANI

  WAKATI mechi za kundi F zikitarajiwa kuchezwa kesho Juni 23, Ureno ipo katika hatari ya kuaga mashindano hayo mapema ikiwa itashindwa k...

SIMBA: TUPO IMARA, KAZI INAENDELEA
VIDEO:LUIS ATAMBULISHWA AL AHLY, MANARA AAHIDI MAKUBWA WIKI YA MWANANCHI
VIDEO: MWAKATALIMO AMPA MAKAVU HAJI MANARA, ATAMBA KUHUSU SIMBA DAY

 


WAKATI mechi za kundi F zikitarajiwa kuchezwa kesho Juni 23, Ureno ipo katika hatari ya kuaga mashindano hayo mapema ikiwa itashindwa kupata ushindi mbele ya Ufaransa.

Ureno ambao ni mabingwa watetezi wa taji hilo itacheza dhidi ya Ufaransa iliyo nafasi ya kwanza na pointi nne katika Uwanja wa Puskas ukiwa ni mchezo wao wa tatu kwenye kundi hilo.

Ureno ipo nafasi ya tatu ina pointi nne inatakiwa kujihakikishia nafasi ya kufuzu moja kwa moja hatua ya 16 bora.

Ujerumani iliyo nafasi ya tatu na pointi tatu itamenyana na Hungary wanaoburuza mkia na pointi moja.

Timu zote zina nafasi ya kusonga mbele kutokana na namna pointi zilivyo hivyo ili kuweza kujihakikishia nafasi ya kusonga mbele lazima washinde mechi hiyo.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: URENO YALIWEKA KOMBE REHANI
URENO YALIWEKA KOMBE REHANI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjxsnfLJkDsP2XukCQkiU-UtPX9setZibuz7VZ3DrYz9m2LQacebb76wPc8IWznU2K7Beov52NvmRvFxnx3dEAzv94Ew5QEOGdhy0sqpTThxjuohp5oseqnV-7e2XF32vLZ8fgHCuC4F3Xb/w640-h488/IMG_20210622_095220_962.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjxsnfLJkDsP2XukCQkiU-UtPX9setZibuz7VZ3DrYz9m2LQacebb76wPc8IWznU2K7Beov52NvmRvFxnx3dEAzv94Ew5QEOGdhy0sqpTThxjuohp5oseqnV-7e2XF32vLZ8fgHCuC4F3Xb/s72-w640-c-h488/IMG_20210622_095220_962.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/ureno-yaliweka-kombe-rehani.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/ureno-yaliweka-kombe-rehani.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy