MRITHI WA KAZE NI MAALUMU KWA AJILI YA CAF
HomeMichezo

MRITHI WA KAZE NI MAALUMU KWA AJILI YA CAF

  SEBASTIAN Migne, raia wa Ufaransa anapewa nafasi kubwa ya kuwa mrithi wa mikoba ya Cedric Kaze ambaye alifutwa kazi Machi 7,2020 kutoka...

ENGLAND KUCHEZA FAINALI LEO, MALKIA ATUMA UJUMBE
VIDEO: MKWERE: WASANII TUWEKEZE, MAPITO YAKE YAPO HIVI
RAJA CASABLANCA MABINGWA WA KOMBE LA SHIRIKISHO CAF

 


SEBASTIAN Migne, raia wa Ufaransa anapewa nafasi kubwa ya kuwa mrithi wa mikoba ya Cedric Kaze ambaye alifutwa kazi Machi 7,2020 kutokana na kile kilichoelezwa kuwa hakuwa na mwendo mzuri.


Habari zinaeleza kuwa sababu kubwa za Migne kuletwa ni kwa ajili ya mashindano ya kimataifa yanayoandaliwa na Shirikisho la Soka Afrika, (Caf) ikiwa ni ile ya Kombe la Shirikisho na Ligi ya Mabingwa Afrika. 


Imani kubwa ya Yanga ni kwamba wana nafasi ya kushiriki mashindano hayo msimu ujao kwa kuwa wanaamini wapo Kwenye nafasi ya kutwaa taji la Ligi Kuu Bara pamoja na lile la Shirikisho. 


Migne aliwahi kuwa Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Kenya na timu ya Taifa ya Equatorial Guinea.


Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Ufundi Yanga,Dominic Albinius aliweka wazi kuwa mchakato unaendelea na atakayekuja ni Kocha mwenye uzoefu.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MRITHI WA KAZE NI MAALUMU KWA AJILI YA CAF
MRITHI WA KAZE NI MAALUMU KWA AJILI YA CAF
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjikGTh5hUofV8mxfYNpKEdF0sZITDeYyx9MhZ26l8R8xSzt1A3VHqhsVe9o5Oj6tAM8ZjEhmlbmHbEcCiJqeTnrhorTMRSAUArw_Nd2YSUzsJu8v7k110hmM-cpPBGDml80SUyzMfiT1_q/w640-h640/IMG_20210329_072308_445.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjikGTh5hUofV8mxfYNpKEdF0sZITDeYyx9MhZ26l8R8xSzt1A3VHqhsVe9o5Oj6tAM8ZjEhmlbmHbEcCiJqeTnrhorTMRSAUArw_Nd2YSUzsJu8v7k110hmM-cpPBGDml80SUyzMfiT1_q/s72-w640-c-h640/IMG_20210329_072308_445.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/mrithi-wa-kaze-ni-maalumu-kwa-ajili-ya.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/mrithi-wa-kaze-ni-maalumu-kwa-ajili-ya.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy