KIKOSI cha Yanga kitakachoanza leo Machi 7 dhidi ya Polisi Tanzania, mchezo wa Ligi Kuu Bara mzunguko wa pili, Uwanja wa Sheikh Amri Abe...
Metacha Mnata kipa namba moja baada ya kukosekana kwenye mechi mbili mfululizo leo amerejea tena kwenye milingoti mitatu, Nchimbi naye ndani.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS