IKIWA ni msimu mpya wa 2021/22 mambo ni mapya pia kwa mabingwa mara 27 wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga ambao nao pia wana basi jipya kwa aj...
IKIWA ni msimu mpya wa 2021/22 mambo ni mapya pia kwa mabingwa mara 27 wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga ambao nao pia wana basi jipya kwa ajili ya msimu mpya ni Marcopolo chapa kama zote na wanalitumia kwa ajili ya usafiri wa wachezaji pamoja na viongozi, huu hapa muonekano wake kwa nje.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS