CLATOUS CHAMA APEWA JUKUMU ZITO MBELE YA AS VITA, LIGI YA MABINGWA
HomeMichezo

CLATOUS CHAMA APEWA JUKUMU ZITO MBELE YA AS VITA, LIGI YA MABINGWA

  C LATOUS  Chama, kiungo  mshambuliaji wa  kikosi cha Simba,  amekabidhiwa  mchezo dhidi ya AS Vita  kuipa ushindi timu hiyo na  kutinga ...

MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA
KUMBE!METACHA ANAWADAI YANGA,NYOTA MNIGERIA AKUBALI KUTUA SIMBA, CHAMPIONI JUMAMOSI
BAADA YA KUMKOSA MANYAMA, SIMBA YAMGEUKIA BEKI HUYU

 CLATOUS Chama, kiungo mshambuliaji wa kikosi cha Simba, amekabidhiwa mchezo dhidi ya AS Vita kuipa ushindi timu hiyo na kutinga robo fainali.

 Chama mwenye pasi mbili za mabao kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi baada ya kucheza mechi nne, alikuwa sehemu ya kikosi cha Simba kilichoshinda 2-1 dhidi ya AS Vita msimu wa 2018/19, Uwanja wa Mkapa, Dar.

 

Akizungumza na Spoti Xtra, Seleman Matola, Kocha Msaidizi wa Simba, alisema kitakachowapa jeuri ya ushindi kwenye mchezo huo ni uwepo wa wachezaji waliocheza na AS Vita wakiongozwa na Chama kipindi kile wanawaondosha hatua kama hii.


“Tuna mechi ngumu kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwemo dhidi ya AS Vita, ila katika hilo hatuna mashaka makubwa kwani tuna wachezaji ambao walicheza dhidi ya AS Vita wakati ule akiwemo Chama na wana uwezo mkubwa wa kutupatia ushindi.

 

“Uwepo wa wachezaji waliocheza hatua za makundi msimu wa 2018/19 ni ushindi kwetu kwani wanajua mbinu ambazo walitumia kupata ushindi, kikubwa mashabiki wazidi kuwa pamoja nasi,” alisema Matola.

 

Simba na AS Vita, zitapambana Aprili 3, mwaka huu kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar, ukiwa ni mchezo wa Kund A. Mechi ya kwanza kule DR Congo, Simba ilishinda 1-0 kwa bao la Chris Mugalu.

 




Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: CLATOUS CHAMA APEWA JUKUMU ZITO MBELE YA AS VITA, LIGI YA MABINGWA
CLATOUS CHAMA APEWA JUKUMU ZITO MBELE YA AS VITA, LIGI YA MABINGWA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjcUxynZRWDNdvdB6JKsc8wkjsJEDmOW1Yx37cYW4s7ceCWw3mB9BHtTWsG_67Pu8jn5XVKZ3hFf5xrzFYnUeHKXD5YKQW9lHS-Wy7Jv8VT9icdW7LOHZJaSGsD7Dx7gDqo7D0EwPUoY8qt/w640-h426/Chama+kushangilia.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjcUxynZRWDNdvdB6JKsc8wkjsJEDmOW1Yx37cYW4s7ceCWw3mB9BHtTWsG_67Pu8jn5XVKZ3hFf5xrzFYnUeHKXD5YKQW9lHS-Wy7Jv8VT9icdW7LOHZJaSGsD7Dx7gDqo7D0EwPUoY8qt/s72-w640-c-h426/Chama+kushangilia.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/clatous-chama-apewa-jukumu-zito-mbele.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/clatous-chama-apewa-jukumu-zito-mbele.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy