BAADA YA KUMKOSA MANYAMA, SIMBA YAMGEUKIA BEKI HUYU
HomeMichezo

BAADA YA KUMKOSA MANYAMA, SIMBA YAMGEUKIA BEKI HUYU

  B AADA  ya kugonga  mwamba kwenye  usajili wa beki wa  Ruvu Shooting,  Charles Manyama  ambaye ametua Azam FC,  Kocha wa Simba, Mfaransa...

MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MICHAEL OWEN NA MABAO YAKE 163

 BAADA ya kugonga mwamba kwenye usajili wa beki wa Ruvu Shooting, Charles Manyama ambaye ametua Azam FC, Kocha wa Simba, Mfaransa, Didier Gomes Da Rosa, ameusisitiza uongozi wa timu hiyo kuhakikisha unamsajili beki mwingine wa kushoto, na sasa wamerudi rasmi kumuwania David Luhende.

 

Kwa takriban mwezi mmoja, uongozi wa Simba ulikuwa kwenye harakati za kutaka kumsainisha Manyama huku ukimtengea kitita kinono cha milioni 50, lakini mipango yao iligonga mwamba baada ya Azam FC kumtangaza mapema wiki iliyopita.


 Chanzo chetu kutoka ndani ya Simba, kimelieleza Championi Jumatano kwamba, uongozi huo ulishindwa kumalizana na Manyama mapema kwa kuwa ulikuwa ukisubiria ruhusa ya kocha wao Gomes ambaye alikuwa kwao Ufaransa, na sasa amerejea na kuwataka watafute mwingine.


“Ukweli uliopo ni kwamba, sisi hatukushindwa kumsajili Manyama eti kwa sababu Azam walituzidi akili, ila tulikuwa tunashindwa kumalizana naye kufuatia kutokuwa na jibu la moja kwa moja kutoka kwa kocha ambaye alikuwa amesafiri, na hata siku ya mwisho hatukumpata kocha jambo ambalo Azam walilitumia vyema kutupiku.

 

"Hatuna shaka sana na hilo nadhani muda wowote sasa karata yetu itaangukia kwa Luhunde ambaye kimsingi naye tulishafanya mazungumzo ya awali zaidi tunaangalia namna ya kumalizana na waajiri wake Kagera Sugar,” kilisema chanzo hicho.

 

Championi lilizungumza na Mkuu wa Maudhui wa Simba, Ally Shatry ‘Bob Chico’, ili kujua juu ya taarifa hizo, ambapo alisema: “Kwa sasa mimi sina maelezo kamili juu ya usajili, hivyo ni vyema ukamtafuta kocha Gomes maana yeye ndiye mwenye kujua nani anamtaka au yupi hamtaki," .



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: BAADA YA KUMKOSA MANYAMA, SIMBA YAMGEUKIA BEKI HUYU
BAADA YA KUMKOSA MANYAMA, SIMBA YAMGEUKIA BEKI HUYU
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhN4_to3Pobea6myk1J6u1ASMBrVZhYdtAuWyG5e17Vt6RIk5BjotbfbWj1cy5H8_JzkgP7McxxlCWTGJcydU40_jQjcrstW5EQl_eZ8KGzLpcdF8p6mG9FlLsr-3E1oM0xxUxaj-D4_li1/w520-h640/27_edo_manyama-143593950_750443022516618_1365436526688173589_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhN4_to3Pobea6myk1J6u1ASMBrVZhYdtAuWyG5e17Vt6RIk5BjotbfbWj1cy5H8_JzkgP7McxxlCWTGJcydU40_jQjcrstW5EQl_eZ8KGzLpcdF8p6mG9FlLsr-3E1oM0xxUxaj-D4_li1/s72-w520-c-h640/27_edo_manyama-143593950_750443022516618_1365436526688173589_n.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/baada-ya-kumkosa-manyama-simba.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/baada-ya-kumkosa-manyama-simba.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy