NYOTA HAWA SABA WA SIMBA KUIKOSA KAGERA SUGAR LEO KAITABA
HomeMichezo

NYOTA HAWA SABA WA SIMBA KUIKOSA KAGERA SUGAR LEO KAITABA

 NYOTA saba wa kikosi cha Simba leo wanatarajiwa kuukosa mchezo wa wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar utakaochezwa Uwanja wa Kaitaba m...


 NYOTA saba wa kikosi cha Simba leo wanatarajiwa kuukosa mchezo wa wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar utakaochezwa Uwanja wa Kaitaba majira ya saa 10:00 jioni.

Ikiwa chini ya Kocha Mkuu, Didier Gomes ina kibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya Kagera Sugar inayonolewa na Kocha Mkuu, Francis Baraza.

Miongoni mwa nyota hao ambao watakawakosa Kagera Sugar ni pamoja na Francis Kahata ambaye yeye hayupo kwenye hesabu za mechi za ligi na badala yake yupo kwenye mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika na Simba imetinga hatua ya robo fainali.

Bernard Morrison kiungo huyu mchetuaji ana kadi tatu za njano ambazo alizipata kwenye mechi tatu tofauti ambapo ya tatu ilikamilika wakati ubao ukisoma Mwadui 0-1 Simba, Uwanja wa Kambarage.

Gadiel Michael, Said Ndemla,Miraji Athuman, Ibrahim Ajibu, Ally Salim nyota hawa watakosekana kwa kuwa hawana 'match fitnes' pia kwenye mpango wa Gomes imekuwa ngumu kwao kupenya kikosi cha kwanza.

Kwenye mchezo uliopita dhidi ya Mwadui FC ni Morrison pekee alianzia benchi huku hao wengine majina yao yakiwa adimu kuonekana kwenye kikosi cha kwanza.

Hivi karibuni Gomes alisema kuwa ushindani wa namba ni mkubwa ndani ya kikosi hicho hivyo wachezaji wanapaswa kupambana zaidi.




Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: NYOTA HAWA SABA WA SIMBA KUIKOSA KAGERA SUGAR LEO KAITABA
NYOTA HAWA SABA WA SIMBA KUIKOSA KAGERA SUGAR LEO KAITABA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiMbo1b0x84TXDD1-b9vIXYL7-CYsmdSN-mqAU3cRSUZdFPs0ckjMcPEWuLxwPcn1504zJolv1KVDbcyxoC7QcuqT4dD-bqYqE8DmQR66LaSCUS9oFggZ6SiPc9O-8EcXUBuxwx5ltUitDY/w640-h426/Ajibu+tizi.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiMbo1b0x84TXDD1-b9vIXYL7-CYsmdSN-mqAU3cRSUZdFPs0ckjMcPEWuLxwPcn1504zJolv1KVDbcyxoC7QcuqT4dD-bqYqE8DmQR66LaSCUS9oFggZ6SiPc9O-8EcXUBuxwx5ltUitDY/s72-w640-c-h426/Ajibu+tizi.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/nyota-hawa-saba-wa-simba-kuikosa-kagera.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/nyota-hawa-saba-wa-simba-kuikosa-kagera.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy