Rais Dk. Mwinyi Awapongeza Madaktari Bingwa Wa Upasuaji Wa Ubongo Na Mishipa Ya Fahamu
HomeHabari

Rais Dk. Mwinyi Awapongeza Madaktari Bingwa Wa Upasuaji Wa Ubongo Na Mishipa Ya Fahamu

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kwamba ile ndoto yake ya kuifanya Zanzibar iwe ni se...

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 16, 2024
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 15, 2024
Ureno yatoa sarafu yenye picha ya sura ya Cristiano Ronaldo


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kwamba ile ndoto yake ya kuifanya Zanzibar iwe ni sehemu ya kutoa tiba za kibingwa sasa imeanza.   


Rais Dk. Mwinyi ameyasema hayo jana wakati alipowapongeza madaktari wa Kitengo cha upasuaji wa ubongo, uti wa mgongo na mishipa ya fahamu cha Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar ambao aliwaaita Ikulu Jijini Zanzibar kwa lengo hilo maalum la kuwapongeza.


Pongezi hizo zimekuja mara baada ya kitengo hicho cha wataalamu hao kumfanyia upasuaji mgonjwa Kelesh Belinda raia kutoka nchini Nigeria ambaye hakuwa na imani ya kutibiwa hapa Zanzibar lakini kutokana na uwezo uliopo wa kitengo hicho cha hapa Zanzibar mgonjwa huyo aliweza kutibiwa na hatimae mara baada ya kupona alianza kuipa sifa Zanzibar na kutoa taarifa katika mitandao ya kijamii.


Rais Dk. Shein alisema kuwa kuna haja ya kuwapongeza madaktari hao kwa kuanza kutoa huduma hizo za kibingwa ambazo ni ngumu jambo ambalo wameonesha kwamba inawezekana katika kutekeleza ndoto zake.


Hivyo, Rais Dk. Mwinyi alikipongeza kitengo hicho cha Hospitali ya Mnazi Mmoja  kwa kazi nzuri wanazozifanya ambazo zimepelekea kuwaita Ikulu kutokana na mafanikio  waliyoyapata ambayo yameijengea sifa kubwa Zanzibar.


Rais Dk. Mwinyi alisema kuwa kuna haja ya kuwapongeza kutokana na kazi hizo licha ya kutambua kwamba wanafanya kazi hizo katika mazingira magumu kwani nia ya kurekebisha mazingira magumu ipo.


Alisema kwamba kazi inayofanywa na kitengo hicho ni kutoa tiba kwani wagonjwa wengi waliokuwa wakisafirishwa kwenda Dar-es-Salaam ama nje ya nchi hivi sasa wengi wanatibiwa Zanzibar ambayo hayo ni mafanikio makubwa kwani lengo ni kuhakikisha wananchi wanatibiwa hapa ndani na kupunguza gharama pamoja na kujenga uwezo.



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Rais Dk. Mwinyi Awapongeza Madaktari Bingwa Wa Upasuaji Wa Ubongo Na Mishipa Ya Fahamu
Rais Dk. Mwinyi Awapongeza Madaktari Bingwa Wa Upasuaji Wa Ubongo Na Mishipa Ya Fahamu
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgDwEcaHaWaXsyz1FN_O2ltLuVyLrtRw32iAUSUM0_FRtE0-X1kiL7MRCpfsS4IOuKX5rwhMgF9hbQ7V_Xndh1APXlg9OAQ6AY_B9QebNSO9dn28hpLFp_SmCJtwucWVtbrN3iSZGEqcMdx/s16000/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgDwEcaHaWaXsyz1FN_O2ltLuVyLrtRw32iAUSUM0_FRtE0-X1kiL7MRCpfsS4IOuKX5rwhMgF9hbQ7V_Xndh1APXlg9OAQ6AY_B9QebNSO9dn28hpLFp_SmCJtwucWVtbrN3iSZGEqcMdx/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/rais-dk-mwinyi-awapongeza-madaktari.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/rais-dk-mwinyi-awapongeza-madaktari.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy