HomeHabariTop Stories

Ureno yatoa sarafu yenye picha ya sura ya Cristiano Ronaldo

Serikali ya Ureno imeripotiwa kuwa imetoa sarafu yenye picha ya sura ya Staa wa Taifa hilo Cristiano Ronaldo (39) kama ishara ya kutambua mc...

Man U, RB Leipzig na Bayern Munich kwenye mpambano kuinasa saini ya winga wa PSG
Wizara yanishati yakabidhi gari la kubebea nguzo za umeme Mbinga
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo July 22, 2024

Serikali ya Ureno imeripotiwa kuwa imetoa sarafu yenye picha ya sura ya Staa wa Taifa hilo Cristiano Ronaldo (39) kama ishara ya kutambua mchango wake katika Taifa hilo.

 

Sarafu yenye sura ya Ronaldo inajulikana kwa jina la “CR 7” na thamani yake ni euro 7, serikali ya Ureno imefanya hivyo kwakuwa Ronaldo ndio Mchezaji wa Taifa hilo aliyefanikiwa zaidi.

 

Ronaldo hadi sasa ndio Mfungaji bora wa muda wote wa Timu ya Taifa ya Ureno akiwa kafunga magoli 131 na amefunga jumla ya magoli 901 katika maisha yake ya soka.

The post Ureno yatoa sarafu yenye picha ya sura ya Cristiano Ronaldo first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/JIzcuMn
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Ureno yatoa sarafu yenye picha ya sura ya Cristiano Ronaldo
Ureno yatoa sarafu yenye picha ya sura ya Cristiano Ronaldo
https://i.ytimg.com/vi/3nmazou1OVI/hqdefault.jpg
https://i.ytimg.com/vi/3nmazou1OVI/default.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/09/ureno-yatoa-sarafu-yenye-picha-ya-sura.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/09/ureno-yatoa-sarafu-yenye-picha-ya-sura.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy