MTAMBO WA MABAO KAGERA SUGAR WAPANIA KUFANYA VIZURI
HomeMichezo

MTAMBO WA MABAO KAGERA SUGAR WAPANIA KUFANYA VIZURI

YUSUPH Mhilu, nyota anayecheza ndani ya Kagera Sugar amesema kuwa bado wana kazi ya kuendelea kupambana ndani ya uwanja ili kupata ushindi...


YUSUPH Mhilu, nyota anayecheza ndani ya Kagera Sugar amesema kuwa bado wana kazi ya kuendelea kupambana ndani ya uwanja ili kupata ushindi ndani ya uwanja.

Mhilu ni kinara wa utupiaji ndani ya Kagera Sugar inayonolewa na Kocha Mkuu, Mecky Maxime.

Alikuwa miongoni mwa nyota waliofunga bao kwenye sare ya kufungana mabao 3-3 dhidi ya Yanga mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Mkapa.

Kesho itashuka Uwanja wa Uhuru kusaka pointi tatu mbele ya KMC FC ambayo imetoka kupata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mwadui FC.

Akizungumza na Saleh Jembe, Mhilu amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mechi zote za mzunguko wa pili na watapambana kupata pointi tatu.

"Mzunguko wa pili una ushindani mkubwa na kila timu inahitaji ushindi hivyo nasi tutaingia ndani ya uwanja kusaka ushindi.

"Kikubwa mashabiki watupe sapoti ili kuona kwamba tunapata pointi tatu na kufikia malengo ambayo tumejiwekea ili kuyatimiza," amesema.


Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MTAMBO WA MABAO KAGERA SUGAR WAPANIA KUFANYA VIZURI
MTAMBO WA MABAO KAGERA SUGAR WAPANIA KUFANYA VIZURI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEin3IfbDKBLcM2N_X30nGEYkhaNhS2jciLFGowMVzjMd2waa5PiGjzTiI1st7dM-YQ9TP5B5g_ULHhfAMafHVFd6xvfB4bx8RrM1OD2WATDn5G6Hgbhy_vxHR8YSa2aS4C6d6LIjRhm-U0I/w562-h640/Mhilu+leo+Kaitaba.PNG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEin3IfbDKBLcM2N_X30nGEYkhaNhS2jciLFGowMVzjMd2waa5PiGjzTiI1st7dM-YQ9TP5B5g_ULHhfAMafHVFd6xvfB4bx8RrM1OD2WATDn5G6Hgbhy_vxHR8YSa2aS4C6d6LIjRhm-U0I/s72-w562-c-h640/Mhilu+leo+Kaitaba.PNG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/mtambo-wa-mabao-kagera-sugar-wapania.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/mtambo-wa-mabao-kagera-sugar-wapania.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy