Mkutano Wa Sadc Troika Wasogeza Mbele Mkutano Wa Wakuu Wa Nchi
HomeHabari

Mkutano Wa Sadc Troika Wasogeza Mbele Mkutano Wa Wakuu Wa Nchi

Na Mwandishi wetu, Mkutano wa Wakuu wa nchi na Serikali za Utatu wa Jumuiya ya Maendeleo ya nchi za Kusini mwa Afrika (SADC- TROIKA) uli...

Tanzania Yasisitiza Kuunga Mkono ,kuendeleza Uhusiano Na China
Wauguzi Wasimamishwa Kazi Kwa Kufanya Mapenzi Wodini
Wauza Madini Feki Wanaswa Sikonge


Na Mwandishi wetu,
Mkutano wa Wakuu wa nchi na Serikali za Utatu wa Jumuiya ya Maendeleo ya nchi za Kusini mwa Afrika (SADC- TROIKA) uliopangwa  kufanyika mwezi Machi 2021 umesogezwa mbele hadi mwezi Mei au Juni 2021 kutokana na changamoto za (Covid 19).

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. William Ole Nasha (Mb) amesema kuwa mkutano huo umekutana kwa lengo la kupitia na kuridhia mapendekezo ya Mawaziri wa afya wa SADC uliofanyika mwishoni wa mwezi Februari 2021.  

“Awali mawaziri wa Afya wa SADC walipendekeza kuwa mkutano wa Baraza la Mawaziri ufanyike kwa njia ya mtandao pamoja na ule wa Wakuu wa Nchi uliokuwa umepangwa pia kufanyika mwezi Machi usogezwe mbele hadi mwezi Mei au Juni 2021 kutegemeana na hali ya maambukizi ya ugonjwa wa COVID 19 itakavyokuwa na kuongeza kuwa mikutano mingine yote itafanyika kwa njia ya mtandao (Video Conference) hadi hapo hali ya maambukizi itakapokuwa imetengemaa,” Amesema Mhe. Ole Nasha

Mkutano wa (SADC- TROIKA) umetanguliwa na Mkutano wa Makatibu Wakuu ambapo, Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge ameeleza kutokana na hali halisi ya kujitokeza kwa kirusi cha Covid 19 kilichojitokeza kusini mwa Jangwa la Afrika imekuwa vigumu kufanyika kwa mkutano huo wa ana kwa ana na badala yake imeamuliwa mkutano huo usogezwe mbele hadi mwezi Mei au Juni 2021.

“Mwezi Januari 2021 Mawaziri wa Afya wa SADC walikutana na kufanya mkutano kwa njia ya mtandao na kufikia maazimio kuwa mkutano wa Wakuu wa nchi na Serikali uhairishwe hadi mwezi Mei au Juni kutegemeana na hali ya COVID 19 itakapokuwa imetengemaa……. ambapo pamoja na mambo mengine, mkutano wa Baraza la Mawaziri umeridhia kusogezwa mbele kwa mkutano huo,” Amesema Balozi Ibuge

Utatu wa SADC-TROIKA kwa sasa unaundwa na nchi za Msumbiji, Tanzania na Malawi.


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Mkutano Wa Sadc Troika Wasogeza Mbele Mkutano Wa Wakuu Wa Nchi
Mkutano Wa Sadc Troika Wasogeza Mbele Mkutano Wa Wakuu Wa Nchi
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj_n0QhnGuQnZtwA0nCy8psPmsHF24TyydaJ-kCs2ccWLii0J98bGgQRFkgGxlbh2C7vPJDPof0PbBC4N6nCFk2Wx5RIWYRJaO71ESDwOLr3IKXK0Q89CnstItTJs0hkD270676rGgg2EEo/s16000/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj_n0QhnGuQnZtwA0nCy8psPmsHF24TyydaJ-kCs2ccWLii0J98bGgQRFkgGxlbh2C7vPJDPof0PbBC4N6nCFk2Wx5RIWYRJaO71ESDwOLr3IKXK0Q89CnstItTJs0hkD270676rGgg2EEo/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/mkutano-wa-sadc-troika-wasogeza-mbele.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/mkutano-wa-sadc-troika-wasogeza-mbele.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy