RASTA HUYU KUTOKA ZAMBIA MKALI WA KUKABA KUTUA YANGA
HomeMichezo

RASTA HUYU KUTOKA ZAMBIA MKALI WA KUKABA KUTUA YANGA

  T ETESI za usajili  Yanga zinasema  kuwa, timu hiyo  ipo katika hatua  za mwisho za kukamilisha  usajili wa beki wa Zesco ya  nchini Zam...

AZAM FC YAZIPIGIA HESABU POINTI TATU ZA JKT TANZANIA
SIMBA: MTIBWA SUGAR HUWA WANATUPA CHANGAMOTO, MCHEZO UTAKUWA MGUMU
PSG YAIVUA UBINGWA WA UEFA CHAMPIONS LEAGUE BAYERN MUNICH

 TETESI za usajili Yanga zinasema kuwa, timu hiyo ipo katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa beki wa Zesco ya nchini Zambia, Mkongomani Marcel Kalonda ambaye anatumia guu la kushoto na ni mkali katika kukaba katika ile staili ya mtu na mtu ‘man to man’.

 

Uwezo wake huo unaweza kuwa kikwazo kwa viungo wasumbufu kwenye ligi kama Clatous Chama, Luis Miquissone pamoja na mastaika kama John Bocco na Prince Dube.

 

Kalonda, 23, mkataba wake na Zesco unatarajiwa kumalizika Desemba 31, mwaka huu hivyo huenda akaja kuchukua nafasi ya Mghana Lamine Moro ambaye tayari Yanga imetangaza kuachana naye  Alhamisi.


Yanga imepanga kukiboresha kikosi chao ili kifanye vizuri katika Ligi ya Mabingwa Afrika. Kwa mujibu wa taarifa ambazo imezipata Championi Ijumaa, kocha Nasreddine Nabi ndiye anayetajwa kupendekeza jina la beki huyo mwenye uwezo mkubwa wa kukaba, kupunguza na kuanzisha mashambulizi kwenye goli la wapinzani.


“Katika kikao cha Jumatano jioni kilichowakutanisha Kamati ya Mashindano ya Yanga na kocha Nabi, jina la Kalonda lilitajwa katika mipango yetu ya usajili.


“Jina hilo lilikuja baada ya kocha na kamati kukubaliana kwa pamoja kuachana na Moro.


“Hivyo yapo baadhi 
ya majina yaliyokuwa yamewekwa mezani yaliyokuwa yanapitiwa na Kalonda lilikuwepo pamoja na beki raia wa Benin, Partene Counou. Hivyo mmoja kati ya hao huenda akawa mbadala wa Moro,” alisema mtoa taarifa huyo.

 

Akizungumzia usajili huo, Mwenyekiti wa Yanga, Dk Mshindo Msolla alisema: “Kikubwa Wanayanga wawe watulivu, tumepanga kufanya
usajili bora utakaofanikisha 
malengo yetu katika msimu ujao, tupo katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa wachezaji wetu na mara baada ya kukamilika tutaweka wazi kila kitu.”



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: RASTA HUYU KUTOKA ZAMBIA MKALI WA KUKABA KUTUA YANGA
RASTA HUYU KUTOKA ZAMBIA MKALI WA KUKABA KUTUA YANGA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhuam96cfFervA0JNC9P7oTapTaz_IyWX0Aw880lLCJY1PF40rJupXPZH2utP-zvCQq5GSZnWRCz-eiTB6odFJr9THZN_jxkpGkU911oq3wWdH5GHB3Gc9TheQKka5-GPnmcPlfnBzGELvx/w640-h334/Kalonda.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhuam96cfFervA0JNC9P7oTapTaz_IyWX0Aw880lLCJY1PF40rJupXPZH2utP-zvCQq5GSZnWRCz-eiTB6odFJr9THZN_jxkpGkU911oq3wWdH5GHB3Gc9TheQKka5-GPnmcPlfnBzGELvx/s72-w640-c-h334/Kalonda.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/rasta-huyu-kutoka-zambia-mkali-wa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/rasta-huyu-kutoka-zambia-mkali-wa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy