MBWANA SAMATTA ACHEKA NA NYAVU TIMU YAKE IKIFUNGWA
HomeMichezo

MBWANA SAMATTA ACHEKA NA NYAVU TIMU YAKE IKIFUNGWA

KLABU ya Royal Antwerp anayoichezea Mtanzania, Mbwana Samatta imekubali kipigo cha mabao 2-1 kutoka Olympiacos katika mchezo wa  michuano ...

DODOMA JIJI KAZIKAZI MOROGORO
JESSE ACHEKELEA KUFUNGA TIMU YA TAIFA
DOZI YA YANGA,KUTWA MARA MBILI

KLABU ya Royal Antwerp anayoichezea Mtanzania, Mbwana Samatta imekubali kipigo cha mabao 2-1 kutoka Olympiacos katika mchezo wa  michuano ya Europa.

Mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Karaiskakis ulikuwa na ushindani na kuifanya timu ya Samatta kushindwa kusepa na pointi hata moja baada ya dakika 90.

Ni mabao ya Youssefi El-Arabi dk ya 52 na Oleg Reabciuck dakika ya 87 alipachika msumari wa maumivu ulioweza kufuta furaha ya kupata pointi moja kwa kuwa Samatta alipachika bao dakika ya 74.

Pia walimaliza dakika 90 akina Samatta wakiwa pungufu baada ya nyota wao Jelle Bataille kuonyeshwa kadi nyekundu dakika ya 90.

Katika msimamo timu ya Samatta iliyo kundi D inashikilia nafasi ya nne ikiwa haina hata pointi huku nafasi ya kwanza ikiwa mikononi mwa Olympiacos.


Pia ni mashuti 17 yalipigwa na timu ya Samatta huku 16 hayakulenga lango na ni moja tu la Samatta liliweza kulenga lango na ikiwa waya.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MBWANA SAMATTA ACHEKA NA NYAVU TIMU YAKE IKIFUNGWA
MBWANA SAMATTA ACHEKA NA NYAVU TIMU YAKE IKIFUNGWA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi26xDEbcxDc7FlvT-AXbNwP6iKnkSBo4osylBD5rsNboX-02JA9XHVzZ973O9o8nZV5-A92pTyIzT5x1On5hm9xzCR855AwTTpvUM7uscvtESO8PKaSivN1FEWTB9Bo7qWKbmFQviBJqDn/w640-h426/samagoal77-241731294_127866216224207_5406452880620608445_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi26xDEbcxDc7FlvT-AXbNwP6iKnkSBo4osylBD5rsNboX-02JA9XHVzZ973O9o8nZV5-A92pTyIzT5x1On5hm9xzCR855AwTTpvUM7uscvtESO8PKaSivN1FEWTB9Bo7qWKbmFQviBJqDn/s72-w640-c-h426/samagoal77-241731294_127866216224207_5406452880620608445_n.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/mbwana-samatta-acheka-na-nyavu-timu.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/mbwana-samatta-acheka-na-nyavu-timu.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy