SIMBA WAINGIA MKATABA NA ATCL
HomeMichezo

SIMBA WAINGIA MKATABA NA ATCL

  UONGOZI wa Klabu ya Simba SC na Shirika la Ndege nchini Tanzania (ATCL) wameingia mkataba wa ushirikiano wa kibiashara ambao utakuwa na...

 


UONGOZI wa Klabu ya Simba SC na Shirika la Ndege nchini Tanzania (ATCL) wameingia mkataba wa ushirikiano wa kibiashara ambao utakuwa na manufaa kwa pande zote.


Mkataba huo utaiwezesha Simba kuweza kusafiri ndani ya Tanzania kwa ndege za shirika hilo pekee ikiwa katika safari zake.

Inatajwa kuwa mkataba huo uana thamani ya shilingi milioni 400.

Mkataba huo umesainiwa leo Septemba 17 mbele ya Waandishi wa Habari.

Mkataba ambao wamesaini leo ni wa muda wa miaka miwili kwa ajili ya ushirikiano.


Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: SIMBA WAINGIA MKATABA NA ATCL
SIMBA WAINGIA MKATABA NA ATCL
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiLsDrpx4V_yr2zTDVKw0hsQcabGic2FumrzyIuWjgRIyIqqwvTcL-7RK7J2ghICH9yiKOCYiZRVCJHBcKN7Jfe80jYOs0Ms5Hnh0Xx78VCODHPhdzIKyB8wbFGMs2c9G25jU_ZRRFaTSX2/w640-h428/242062130_971154720409849_2721727394839602981_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiLsDrpx4V_yr2zTDVKw0hsQcabGic2FumrzyIuWjgRIyIqqwvTcL-7RK7J2ghICH9yiKOCYiZRVCJHBcKN7Jfe80jYOs0Ms5Hnh0Xx78VCODHPhdzIKyB8wbFGMs2c9G25jU_ZRRFaTSX2/s72-w640-c-h428/242062130_971154720409849_2721727394839602981_n.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/simba-waingia-mkataba-na-atcl.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/simba-waingia-mkataba-na-atcl.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy