Wamarekani wawili washtakiwa kwa jaribio la kupindua serikali ya Gambia.
Rais wa Gambia Yahya Jammeh
HomeHabariKimataifa

Wamarekani wawili washtakiwa kwa jaribio la kupindua serikali ya Gambia.

Rais wa Gambia Yahya Jammeh Raia wawili wa Marekani wanakabiliwa na mashtaka kwa kuhusika kwao katika jaribio la wiki jana l...





Raia wawili wa Marekani wanakabiliwa na mashtaka kwa kuhusika kwao katika jaribio la wiki jana la kupindua  serikali ya Gambia.

Wizara ya sheria ya Marekani inasema Cherno Njie  mwenye umri wa miaka 57 ma Papa Faal mwenye umri wa miaka 46  wamewekwa kizuizini na watafika mbele ya mahakama baadaye leo

Jumatatu. Njie atapelekwa katika mahakama moja ya  mji wa Baltimore ulioko jimbo la Maryland  wakati Faal atafikishwa mbele ya mahakama moja ya Minneapolis jimbo la Minnesota.

Kwa mujibu wa wizara ya sheria ya  Marekani, wanaume hao wawili walipanga njama za kuvunja sheria za Marekani za kutoingilia kati wala kuhusika katika mapinduzi au majaribio ya mapinduzi ya serikali yoiyote ile.

Wizara hiyo inasema Njie na Faal walisafiri hadi Gambia mwezi Desemba wakiwa na nia ya  kupindua serikali ya Gambia. Kabla ya ziara yao walinunua silaha  na kuzipeleka Gambia kwa njia ya meli ili kutumika katika mapinduzi ya serikali ya nchi hiyo.  
 
 Ripoti zinasema waliopanga njama hizo walitegemea kwamba Njie atakuwa kaimu kiongozi wa  Gambia baada ya kumtimua madarakani rais Yahya Jammeh.
Wizara ya sheria  ya Marekani inasema baada ya jaribio hilo kushindikana, wote Njie na Faal ambao wana uraia pacha  wa Gambia na Marekani walirejea Marekani.
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Wamarekani wawili washtakiwa kwa jaribio la kupindua serikali ya Gambia.
Wamarekani wawili washtakiwa kwa jaribio la kupindua serikali ya Gambia.
http://gdb.voanews.com/B8CC0ACC-2466-4DCA-9777-DAC63BC22B1A_w640_r1_s.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2015/01/wamarekani-wawili-washtakiwa-kwa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2015/01/wamarekani-wawili-washtakiwa-kwa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy