KIPA namba mbili wa Simba, Beno Kakolanya amesema kuwa anapokosa nafasi wakati akiwa benchi yeye yule ambaye anaanza ni sawa na yeye kuanza ...
KIPA namba mbili wa Simba, Beno Kakolanya amesema kuwa anapokosa nafasi wakati akiwa benchi yeye yule ambaye anaanza ni sawa na yeye kuanza huku akiweka wazi kwamba kiwango chake kipo palepale.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Pia amezungumzia fainali yao ijayo ambayo ni Kombe la Shirikisho Mungu akijalia wanaweza kwenda kuchukua ubingwa. Katika Kombe la Shirikisho Simba inatarajia kucheza na Yanga, Kigoma, Julai 25.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS