NAMUNGO YAPOTEZA MBELE YA NKANA ZAMBIA KOMBE LA SHIRIKISHO
HomeMichezo

NAMUNGO YAPOTEZA MBELE YA NKANA ZAMBIA KOMBE LA SHIRIKISHO

  NAMUNGO FC Wawakilishi  wa  Tanzania katika Kombe  la Shirikisho Afrika,walipoteza kwenye mchezo wao wa Kombe la Shirikisho  Uwanja wa Le...

VIDEO:TARIMBA AZUNGUMZIA BUNGENI ISHU YA KUYEYUKA KWA DABI, UENDESHAJI HAURIDHISHI
SIMBA KUWAFUATA RUVU SHOOTING LEO
MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA SPOTI XTRA JUMANNE

 

NAMUNGO FC Wawakilishi  wa Tanzania katika Kombe la Shirikisho Afrika,walipoteza kwenye mchezo wao wa Kombe la Shirikisho Uwanja wa Levy Mwanawasa, Zambia, ukiwa ni mchezo wa nne wa michuano hiyo hatua ya makundi ambapo timu hizo zipo Kundi D.


Dakika 90 zilikamilika kwa ubao kusoma Nkana FC 1-0 Namungo na kufanya ipoteza jumla ya mechi zote nne ambazo imecheza mpaka sasa na ipo nafasi ya nne bila pointi. 


Katika mchezo uliopita baina ya timu hizo uliochezwa Uwanja wa Mkapa, Dar, Namungo ilikubali kichapo cha bao 1-0.

 

Akizungumza na Saleh JembeMorocco amesema:"Ni uzoefu ambao unatupatia shida na kutufanya tusipate matokeo mazuri.


"Mapungufu ambayo tunayaona tutayafanyia kazi ili kupata matokeo kwenye mechi zetu zijazo," .


Bao la ushindi kwa Nkana FC lilipachikwa na Fredy Tshemega dakika ya 71.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: NAMUNGO YAPOTEZA MBELE YA NKANA ZAMBIA KOMBE LA SHIRIKISHO
NAMUNGO YAPOTEZA MBELE YA NKANA ZAMBIA KOMBE LA SHIRIKISHO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiB-7ZcTSSUJVU3RxrrrWWdhbJH67LG32AjYZGlAZ5ZleLFQnzfDfIAVdfGF92QHl9-H6T6hnPWi5gs1mLm_0y7kzihF4AbR5U6t3E9k8tBhs4IRZ1_jWq-_SDvx5v1Z_SUu9OihG9DNY5U/w640-h486/Namungo+kikosi.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiB-7ZcTSSUJVU3RxrrrWWdhbJH67LG32AjYZGlAZ5ZleLFQnzfDfIAVdfGF92QHl9-H6T6hnPWi5gs1mLm_0y7kzihF4AbR5U6t3E9k8tBhs4IRZ1_jWq-_SDvx5v1Z_SUu9OihG9DNY5U/s72-w640-c-h486/Namungo+kikosi.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/namungo-yapoteza-mbele-ya-nkana-zambia.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/namungo-yapoteza-mbele-ya-nkana-zambia.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy