EMANUEL OKWI NJIANI KURUDI SIMBA
HomeMichezo

EMANUEL OKWI NJIANI KURUDI SIMBA

 INAELEZWA kuwa nyota wa zamani wa kikosi cha Simba, Emanuel Okwi yupo kwenye hesabu za kurejea ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na Koc...


 INAELEZWA kuwa nyota wa zamani wa kikosi cha Simba, Emanuel Okwi yupo kwenye hesabu za kurejea ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Dider Gomes.

Wakati kikosi cha Simba kilipotua nchini Misri kwa ajili ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly, aliwatembelea kambiniAprili 9 na kuzungumza na wachezaji wa Simba.

Mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Al Salaam Simba ilipoteza kwa kufungwa bao 1-0 na kuwafanya waache pointi tatu mazima nchini Cairo ikiwa ni mchezo wao wa kwanza kupoteza hatua ya makundi baada ya kucheza mechi tano bila kufungwa.

Kwa sasa Okwi anacheza nchini Misri soka la kulipwa katika Klabu ya Ittihad ambapo msimu huu 2020/21 amecheza mechi 9 na kutumia dakika 493 na ametupia mabao mawili.

Alijiunga na timu hiyo msimu wa 2019/20 baada ya mkataba wake na Simba kuisha na kulikuwa na mvutano mkubwa kwenye upande wa kuongeza mkataba wake.

Ndani ya timu yake ya sasa nchini Misri mkataba wake unameguka msimu huu jambo ambalo linaongeza nafasi ya Simba kumtwaa mchezaji huyo bure.

Kuhusu suala hilo Ofisa Habari wa Simba Haji Manara amesema:"Usiniulize kama Okwi ambae kwa sasa anacheza soka la kulipwa Misri atarejea kucheza Simba au laa msimu ujao ila jua kwamba mkataba wake na timu yake upo ukingoni,".



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: EMANUEL OKWI NJIANI KURUDI SIMBA
EMANUEL OKWI NJIANI KURUDI SIMBA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjGJ9yyOLfdKBiJ9RXp8Yy26U7kAI_LKPMdYGYHY9H-jJYRXCkNIjFY5Z3ibhh4VgFCI4M87DtCFdSMSJRKEMm8kvJ1-VQD9nubYjuSU_zSUOtiOl4EWYAMDCHhViVhVw8gxAwHlalkqDIC/w640-h426/Okwi+bana.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjGJ9yyOLfdKBiJ9RXp8Yy26U7kAI_LKPMdYGYHY9H-jJYRXCkNIjFY5Z3ibhh4VgFCI4M87DtCFdSMSJRKEMm8kvJ1-VQD9nubYjuSU_zSUOtiOl4EWYAMDCHhViVhVw8gxAwHlalkqDIC/s72-w640-c-h426/Okwi+bana.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/emanuel-okwi-njiani-kurudi-simba.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/emanuel-okwi-njiani-kurudi-simba.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy