MZIMBABWE WA SIMBA ATAKA NAMBA KIKOSI CHA KWANZA
HomeMichezo

MZIMBABWE WA SIMBA ATAKA NAMBA KIKOSI CHA KWANZA

  PETER Mudhuwa, beki mpya ndani ya Klabu ya Simba, raia wa Zimbabwe amesema kuwa anataka kuwa sehemu ya kikosi cha kwanza kutakachoanza k...

CHELESEA YAWEKEWA NGUMU KUMPATA HAALAND
VIDEO: NYONI:SIMBA NI TIMU NZURI, MASHABIKI WAJITOKEZE KWA WINGI JUMAPILI
VIDEO:MZEE MPILI ATANGAZA VITA KIGOMA, AMLIPUA MORRISON NA MANARA

 PETER Mudhuwa, beki mpya ndani ya Klabu ya Simba, raia wa Zimbabwe amesema kuwa anataka kuwa sehemu ya kikosi cha kwanza kutakachoanza kwenye mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika.
Beki huyo amesaini dili la miezi sita anakutana na ukuta wa Simba unaoongozwa na Joash Onyango,Ibrahim Ame, Pascal Wawa na Kennedy Juma kwa upande wa mabeki wa kati.

Anakuwa chini ya Kocha Mkuu, Didier Gomes ambaye jana, Januari 27 kwa mara ya kwanza alishuhudia wachezaji wake wakicheza mchezo wa ushindani mbele ya Al Hilal na kusepa na ushindi wa mabao 4-1.

Kwenye mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Mkapa nyota huyo hakuwa sehemu ya kikosi cha kwanza wala wale ambao walikuwa kwenye benchi.

Nyota huyo amesema:"Ninajua kwamba Simba nì timu kubwa na ina mabeki wenye uwezo ila nitapambana ili kupata namba kwenye mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika.

"Haitakuwa kazi rahisi ila inawezekana kwa kupambana na kuongeza juhudi kwenye mazoezi nina amini nitapata namba na kazi yangu nitaifanya kwa umakini," .


Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MZIMBABWE WA SIMBA ATAKA NAMBA KIKOSI CHA KWANZA
MZIMBABWE WA SIMBA ATAKA NAMBA KIKOSI CHA KWANZA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgySaza1W1XZChQuL6-7cRGaquIPwFUfrubPTI-6Hl_UhB3Eb5J4xhUSGEoO5fKNlOpL9kpNcipurGATqFpaE7NphyphenhyphenAY0nw3Fv4SrT3_R6ISOj_V2pM9dSODbHbc_P6x6hz3dvdGYNBzo6f/w640-h630/Peter.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgySaza1W1XZChQuL6-7cRGaquIPwFUfrubPTI-6Hl_UhB3Eb5J4xhUSGEoO5fKNlOpL9kpNcipurGATqFpaE7NphyphenhyphenAY0nw3Fv4SrT3_R6ISOj_V2pM9dSODbHbc_P6x6hz3dvdGYNBzo6f/s72-w640-c-h630/Peter.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/01/mzimbabwe-wa-simba-ataka-namba-kikosi.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/01/mzimbabwe-wa-simba-ataka-namba-kikosi.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy