SIMBA YAMPELEKA GYM SMSHAMBULIAJI WAKE MPYA
HomeMichezo

SIMBA YAMPELEKA GYM SMSHAMBULIAJI WAKE MPYA

  B AADA ya kukamilisha  usajili wa kujiunga  na Simba, aliyekuwa  mshambuliaji wa  Mbeya City, Kibu Denis,  ameanza programu maalum  ya ...

SURE BOY, MORRIS MAMBO SAFI
JOB: SIJAJA YANGA KUKAA BENCHI
HAWA HAPA WACHEZAJI WA SIMBA NA BENCHI LA UFUNDI MJENGONI,DODOMA

 


BAADA ya kukamilisha usajili wa kujiunga na Simba, aliyekuwa mshambuliaji wa Mbeya City, Kibu Denis, ameanza programu maalum ya mazoezi ya gym kwa ajili ya kujiweka sawa kuelekea msimu ujao wa 2021/22.


Inaelezwa kuwa, tayari Kibu 
amekamilisha kila kitu na Simba kwa ajili ya kuwatumikia msimu ujao, na sasa anasubiri kutambulishwa rasmi kama ambavyo wachezaji wengine wapya wa kikosi hicho walivyofanyiwa.

 

Kibu amesajiliwa Simba kama pendekezo la Kocha Mkuu, Didier Gomes ambapo anakuja kuongeza nguvu kwenye safu ya ushambuliaji ya timu hiyo, ambayo inatajwa iko kwenye mpango wa kuachana na straika mmoja.

 

Akiwa na Mbeya City msimu uliopita, Kibu alionesha uwezo alifunga mabao sita na kupata nafasi ya kuitwa kwenye kikosi cha Taifa Stars kilichocheza mechi ya kirafiki dhidi ya Malawi, Juni, mwaka huu.


Kuhusu usajili wake, Kibu aliliambia Spoti Xtra kwamba: â€œNipo Dar es Salaam kwa ajili ya kukamilisha usajili wangu kwenye klabu moja kubwa, tuendelee kusubiri kila kitu kitawekwa wazi," .



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: SIMBA YAMPELEKA GYM SMSHAMBULIAJI WAKE MPYA
SIMBA YAMPELEKA GYM SMSHAMBULIAJI WAKE MPYA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgwf519hB94vGBWyzAAssOvm2yARdQMVDfECjJpz9NCWIQmpGZE1oX_AaCV-YDGyYJU79CkOYlrAwygDRdJFNtEaPPiSnkh7osYfdEtlevgw9LocbNv7NqIhtIfkwGSTHcu2toeHXIgCh5V/w640-h640/Kibu+tena.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgwf519hB94vGBWyzAAssOvm2yARdQMVDfECjJpz9NCWIQmpGZE1oX_AaCV-YDGyYJU79CkOYlrAwygDRdJFNtEaPPiSnkh7osYfdEtlevgw9LocbNv7NqIhtIfkwGSTHcu2toeHXIgCh5V/s72-w640-c-h640/Kibu+tena.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/simba-yampeleka-gym-smshambuliaji-wake.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/simba-yampeleka-gym-smshambuliaji-wake.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy