BAADA ya timu ya Yanga kuondolewa kwenye hatua ya makundi ya Kagame Cup kwa kufungwa mabao 3-1 dhidi ya Express wamesema kuwa huwezi kumlazi...
BAADA ya timu ya Yanga kuondolewa kwenye hatua ya makundi ya Kagame Cup kwa kufungwa mabao 3-1 dhidi ya Express wamesema kuwa huwezi kumlazimisha mtu kucheza vile ambavyo hawezi. Walikuwa wanahitaji kombe hilo la Kagame hivyo watajipanga kwa wakati ujao.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS