MLINDA Mlango namba moja wa Klabu ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes, Aishi Manula amesema kuwa bado ana mkataba na mabosi wak...
MLINDA Mlango namba moja wa Klabu ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes, Aishi Manula amesema kuwa bado ana mkataba na mabosi wake wa Simba hivyo ataendelea kutumika ndani ya kikosi hicho kinachoshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika kikiwa hatua ya makundi na kinaongoza kundi A na pointi zake ni 10.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Manula amekuwa akitajwa kuingia kwenye rada za Klabu ya Al Merrikh ya Sudan ambapo amesema kuwa hilo bado ni suala la timu yake.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS