HomeHabariKitaifa

Kamati kuchunguza mkataba wa Lugumi hadharani

Kamati ya kudumu ya Bunge inayoshughulikia Hesabu za Serikali (PAC) imeunda kamati ndogo ya watu tisa itakayochunguza kwa kina mkat...

Mtoto albino atekwa nyara Tanzania
Tibaijuka: Nitagombea Ubunge Mwakani licha ya Sakata la Escrow
VANESSA MDEE ASHINDA TUZO THE BEST FEMALE EAST AFRICA





Kamati ya kudumu ya Bunge inayoshughulikia Hesabu za Serikali (PAC) imeunda kamati ndogo ya watu tisa itakayochunguza kwa kina mkataba uliozua utata wa Sh37bilioni ulioingiwa baina ya Jeshi la Polisi na Lugumi Enterprises.


Dodoma. Kamati ya kudumu ya Bunge inayoshughulikia Hesabu za Serikali (PAC) imeunda kamati ndogo ya watu tisa itakayochunguza kwa kina mkataba uliozua utata wa Sh37bilioni ulioingiwa baina ya Jeshi la Polisi na Lugumi Enterprises.

Pande hizo mbili, Jeshi la Polisi na Lugumi Enterprises, ziliingia mkataba huo kwa ajili ya kufunga vifaa 108 vya kuhifadhia alama za vidole katika vituo vya polisi.

Akizungumza na wanahabari leo mjini Dodoma, makamu mwenyekiti wa kamati hiyo, Aeshi Hilary amesema kamati hiyo itafanya kazi kwa siku 30, kuanzia Jumatatu ijayo.

Wajumbe tisa wa kamati hiyo ndogo ni; Japhet Hasunga (Vwawa-CCM), wengine wa CCM ni Livingstone Lusinde (Mtera), Stanslaus Mabula (Nyamagana), Haji Mponda (Malinyi) na Hafidh Ali Tahir (Dimani).

Wabunge wa upinzani waliopo katika kamati hiyo ni Nahenjwa Kaboyoka (Same Mashariki-Chadema), Musa Mbaruk (Tanga Mjini-CUF), Tuza Malapo (Viti Maalum-Chadema) na Khadija Nassor Ali (Viti Maalum-CUF).

Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Kamati kuchunguza mkataba wa Lugumi hadharani
Kamati kuchunguza mkataba wa Lugumi hadharani
https://i.ytimg.com/vi/0aZq_0lsO5I/hqdefault.jpg
https://i.ytimg.com/vi/0aZq_0lsO5I/default.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2016/04/kamati-kuchunguza-mkataba-wa-lugumi.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2016/04/kamati-kuchunguza-mkataba-wa-lugumi.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy