Mtoto albino atekwa nyara Tanzania
HomeHabariKitaifa

Mtoto albino atekwa nyara Tanzania

Polisi nchini Tanzania wanasema kuwa wamewakamata watu saba kutokana na kutekwa nyara kwa msichana mmoja albino. Msichana huyo wa miak...

CHEKI PICHA NA VIDEO ZA YANGA WAKIKABIDHIWA UBINGWA WA LIGI KUU NDANI YA UWANJA WA TAIFA
WABUNGE WAMTIMUA TENA WAZIRI NYALANDU
Vurugu Burundi: Wakimbizi 800 Waingia Nchini

Polisi nchini Tanzania wanasema kuwa wamewakamata watu saba kutokana na kutekwa nyara kwa msichana mmoja albino.

Msichana huyo wa miaka 4, Pendo Emmanuelle Nundi alitekwa siku ya jumamosi kutoka nyumbani kwao katika jimbo la kazkazini la Mwanza.
Msemaji wa Polisi Valentino Mlowola amesema kuwa babaake mtoto huyo ni miongoni mwa wanaochunguzwa ,ili kujaribu kujua iwapo bado yuko hai.
Utafiti wa Umoja wa Mataifa unasema kuwa takriban albino 74 wameuawa nchini Tanzania ambapo vipande vya miili yao huuzwa kama vivutio vya bahati kwa takriban dola mia sita. >>BBC
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Mtoto albino atekwa nyara Tanzania
Mtoto albino atekwa nyara Tanzania
http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2014/12/10/141210091106_albino_tz_0_640x360_bbc_nocredit.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2014/12/mtoto-albino-atekwa-nyara-tanzania.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2014/12/mtoto-albino-atekwa-nyara-tanzania.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy