Siku chache baada ya Rais Kikwete kumfuta kazi Tibaijuka kama waziri wa ardhi,nyumba na makazi ,mbunge huyo amewaambia wapiga kura wake...
Siku chache baada ya Rais Kikwete kumfuta kazi Tibaijuka kama waziri wa ardhi,nyumba na makazi ,mbunge huyo amewaambia wapiga kura wake kwamba hawakumchagua kama waziri bali kama mwakilishi wao. Tibaijuka alifukuzwa kazi na Rais Kikwete kufuatia kashfa ya akaunti ya tageta escrow ambapo alipokea sh.billioni 1.6. ''Mungu anayetoa ndiye aliyechukua jina la mungu libarikiwe",
COMMENTS