IHEFU YAIPIGIA HESABU MECHI YAO IJAYO LIGI KUU BARA
HomeMichezo

IHEFU YAIPIGIA HESABU MECHI YAO IJAYO LIGI KUU BARA

  I KIWA Ligi Kuu Bara  inatarajiwa kuendelea Julai  14, mwaka huu baada ya  mechi za viporo kumalizika,  Ihefu FC inaendelea kujifua  iki...


 IKIWA Ligi Kuu Bara inatarajiwa kuendelea Julai 14, mwaka huu baada ya mechi za viporo kumalizika, Ihefu FC inaendelea kujifua ikiiwinda Yanga.

 

Timu hiyo ngeni ndani ya Ligi Kuu Bara ikiwa na maskani yake Mbarali mkoani Mbeya, Julai 14, mwaka huu itacheza dhidi ya Yanga kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar.

 

Akizungumza na Spoti Xtra, Ofisa Habari wa Ihefu, Peter Andrew, alisema wanaendelea kujipanga kuhakikisha wanafanya vizuri kwenye mchezo huo sambamba na wa mwisho dhidi ya KMC.

 

“Maandalizi yapo vizuri, tunaendelea kuwawinda wapinzani wetu, siku yoyote kuanzia sasa tunatarajia kuwasilia Dar kwa ajili ya mchezo huo na wa mwisho ambao pia tutacheza huko dhidi ya KMC,” alisema Andrew.

 

Ihefu haipo kwenye nafasi nzuri katika msimamo wa Ligi Kuu Bara ikiwa imekusanya pointi 35 baada ya kucheza mechi 32.


Baada ya Julai 14 kucheza dhidi ya Yanga, siku nne mbele itapambana na KMC. Mechi zote zitachezwa Dar.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: IHEFU YAIPIGIA HESABU MECHI YAO IJAYO LIGI KUU BARA
IHEFU YAIPIGIA HESABU MECHI YAO IJAYO LIGI KUU BARA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEip8mpAwMQyCnrAiwIMLwmoo02Tv5AiepMaLZsfT6SLRnGH4MGS_2HgZEiXaSZ3Qn6pKtaiaF371OacdVTz9E_remzd-OQ4iXNga2bLscAeF3X7Rydx2OIF16KxSgGLwEQmt_XcTK3w8XR4/w640-h566/Ihefu+FC.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEip8mpAwMQyCnrAiwIMLwmoo02Tv5AiepMaLZsfT6SLRnGH4MGS_2HgZEiXaSZ3Qn6pKtaiaF371OacdVTz9E_remzd-OQ4iXNga2bLscAeF3X7Rydx2OIF16KxSgGLwEQmt_XcTK3w8XR4/s72-w640-c-h566/Ihefu+FC.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/ihefu-yaipigia-hesabu-mechi-yao-ijayo.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/ihefu-yaipigia-hesabu-mechi-yao-ijayo.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy