TANGAZO MUHIMU KWA VIJANA  WA KIDATO CHA SITA KWA MUJIBU WA SHERIA 2015. JKT
HomeELIMU

TANGAZO MUHIMU KWA VIJANA WA KIDATO CHA SITA KWA MUJIBU WA SHERIA 2015. JKT

MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA ANA WATANGAZIA VIJANA IDADI 20000 WALIOMALIZA KIDATO CHA SITA MEI 2015 KUHUDHURIA MAFUNZO YA JKT KWA ...

Ajira Mpya za Walimu Kwa Mwaka 2015>>>>>Waalimu wa masomo ya Sayansi wa shahada na stashahada
Ajira Mpya za Walimu Kwa Mwaka 2015>>>>Waalimu wa masomo ya sanaa na biashara ngazi ya shahada na stashahada
Ajira Mpya za Walimu Kwa Mwaka 2015>>>>Ajira za Walimu wa Cheti Shule za Msingi 2015


MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA ANA WATANGAZIA VIJANA IDADI 20000 WALIOMALIZA KIDATO CHA SITA MEI 2015 KUHUDHURIA MAFUNZO YA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA. WANATAKIWA KURIPOTI KWENYE VIKOSI VYA MAFUNZO WALIVYOPANGIWA KUANZIA TAREHE 08 JUNI 2015. MAFUNZO YATAANZA RASMI TAREHE 15 JUNI 2015 NA KUMALIZIKA TAREHE 15 SEPTEMBA 2015.

YAFUATAYO YAZINGATIWE
  1. VIJANA WANAOTAKIWA KUJIUNGA WAWE RAIA WA TANZANIA
  2. WARIPOTI WAKIWA NA VYETI HALISI VYA KUZALIWA NA KUMALIZA KIDATO CHA SITA (LEAVING CERTIFICATE).
  3. VIJANA WENYE ULEMAVU UNAOONEKANA WARIPOTI KWENYE KIKOSI CHA RUVU.
  4. WALE WENYE MATATIZO AMBAYO YATAPELEKEA KUTOKUHUDHURIA MAFUNZO YA JKT KWA SASA WAANDIKE BARUA YA MAOMBI YA KUAHIRISHA MAFUNZO KWA MKUU WA JKT WAKIAMBATISHA VIELELEZO VYA TATIZO ALILONALO. MWAWASILIANO YOTE YAFANYIKE KUTUMIA ANUANI IFUATAYO.

MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA
MAKAO MAKUU YA JESHI LA KUJENGA TAIFA
S.L.P 1694
DAR ES SALAAM.



TANGAZO HILI LIMETOLEWA NA MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA




Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: TANGAZO MUHIMU KWA VIJANA WA KIDATO CHA SITA KWA MUJIBU WA SHERIA 2015. JKT
TANGAZO MUHIMU KWA VIJANA WA KIDATO CHA SITA KWA MUJIBU WA SHERIA 2015. JKT
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhgwQ6BkMNk0p1niUh_RN34KNRpxAPAiuJluaCf5SwG7l9iEzQSF8md9qSt8d2yjzxr_Zfwlk4q0LRDwRs48iFjSDQCoqi6YraHHhPhlCrjZcrzUggcfCxXjMdONNX2EILZW2RFA71hbwpW/s1600/180681_158735330845567_2210285_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhgwQ6BkMNk0p1niUh_RN34KNRpxAPAiuJluaCf5SwG7l9iEzQSF8md9qSt8d2yjzxr_Zfwlk4q0LRDwRs48iFjSDQCoqi6YraHHhPhlCrjZcrzUggcfCxXjMdONNX2EILZW2RFA71hbwpW/s72-c/180681_158735330845567_2210285_n.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2015/05/tangazo-muhimu-kwa-vijana-wa-kidato-cha.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2015/05/tangazo-muhimu-kwa-vijana-wa-kidato-cha.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy