Vanessa akiwa stageni Msanii wa kike wa muziki nchini hapa Vanessa mdee maarufu kwa jina la Vee Money amekaribishwa jijini...
Vanessa akiwa stageni
Msanii wa kike wa muziki nchini hapa Vanessa mdee
maarufu kwa jina la Vee Money amekaribishwa jijini Lagos nchini Nigeria
kutumbuiza kwenye tamasha la sikukuku ya pasaka huku akiungana na
wasanii wengine kama Burna boy pamoja na Iyanya.
Msanii huyo alishusha bonge la show ambalo lilikubalika kwa mashabiki wote ambao walihudhuria ukumbini hapo.
Vanessa akiwapagawisha mashabiki wa Nigeria
Vee Money akizidi kuwapagawisha mashabiki
Vee Money
COMMENTS