MCHEZAJI wa zamani wa Yanga, Jerry Tegete amesema kuwa Yanga ina kikosi kizuri ambacho kinaweza kuwapa matokeo huku wachezaji wakiwa na uwez...
MCHEZAJI wa zamani wa Yanga, Jerry Tegete amesema kuwa Yanga ina kikosi kizuri ambacho kinaweza kuwapa matokeo huku wachezaji wakiwa na uwezo wa kufanya kile ambacho wanakitaka na pia kuhusu Simba ameweka wazi kwamba aliwatazama mara moja kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Amebainisha kuwa hawezi kucheza timu kubwa kwa wakati wa sasa ambapo anaitumikia African Lyon inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS