Lawyer Mark Gregory akimpongeza mteja wake, Chris Brown baada ya Jaji kutangaza kumwachia huru Hatimaye probation ya ...
Lawyer Mark Gregory akimpongeza mteja wake, Chris Brown baada ya Jaji kutangaza kumwachia huru
Hatimaye probation ya Chris Brown 25 Kwenye kesi yake ya kumpiga aliyekuwa girlfriend wake wa wakati huo Rihanna imemalizika na sasa amemalizana kabisa na kesi hiyo ikiwa ni miaka sita na mwezi moja toka atende kosa hilo mwaka 2009
Breezy ameshare habari hiyo kupitia twitter kwa kuandika ‘ Im Off Probation!!!! Thank the Lord!!!’
Staa huyo wa hit single ya Loyal alikuwa akikabiliwa na kesi ya kumshambulia Rihanna Feb 8 2009 saa chache kabla ya sherehe za ugawaji wa tuzo za Grammy kuanza ambapo baada ya kukutwa na hatia alikubali kufanya kazi za jamii ili kukwepa kwenda jela
COMMENTS