Shambulio Garissa:Washukiwa 5 wakamatwa
HomeHabariKimataifa

Shambulio Garissa:Washukiwa 5 wakamatwa

Jamaa na familia za waathiriwa wa shambulizi la chuo kikuu cha Garissa Serikali ya Kenya inasema kuwa watu watano wanazuiliwa kufuatia sha...



Jamaa na familia za waathiriwa wa shambulizi la chuo kikuu cha Garissa



Serikali ya Kenya inasema kuwa watu watano wanazuiliwa kufuatia shambulizi lililondeshwa na kundi la Al shabaab kwenye chuo kikuu cha Garissa ambapo karibu watu 150 waliuawa.

Baadhi ya washukiwa hao walikamatwa wakijaribu kutorokea taifa jirani la Somalia,waziri wa usalama nchini Kenya amesema.

Mwanafunzi wa kike ambaye aliponea shambulizi hilo ambaye alipatikana amejificha saa 48 baada ya shambulizi hilo kwa sasa anahudumia na shirika la msalaba mwekundu.

Takriban watu 148 wengi wao wakiwa wanafunzi waliuawa wakati wapiganaji walipovamia chuo kikuu cha Garissa.

Kundi la Alshabaab kufikia sasa limeapa kutekeleza ,mashambulizi mabaya dhidi ya Kenya.




Maafisa wa Polisi wa Kenya

Kundi hilo linasema kuwa vitendo vyake ni vya kulipiza kisasi vitendo vinavyofanywa na jeshi la kenya dhidi ya kundi la Alshabaab nchini Somalia.

Alshabaab pia lililaumiwa na shambulizi la West Gate mjini Nairobi nchini Kenya mwaka 2013 ambapo watu 67 waliuawa.

Tayari maafisa wa polisi katika taifa jirani la Uganda wanasema wamepokea habari zinazosema kwamba shambulizi kama hilo linapangwa nchini humo
 
 
BBC
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Shambulio Garissa:Washukiwa 5 wakamatwa
Shambulio Garissa:Washukiwa 5 wakamatwa
http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2015/04/04/150404095801_garissa_640x360_b_nocredit.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2015/04/shambulio-garissawashukiwa-5-wakamatwa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2015/04/shambulio-garissawashukiwa-5-wakamatwa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy