Nahodha wa Barcelona Veterans Patrick Kluivert akiingia uwanjani huku ambeba mtoto mwenye ulemavu wa ngovi kuwakabili Tanzania Veter...
Nahodha
wa Barcelona Veterans Patrick Kluivert akiingia uwanjani huku ambeba
mtoto mwenye
ulemavu wa ngovi kuwakabili Tanzania Veterans kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam
ulemavu wa ngovi kuwakabili Tanzania Veterans kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam
Patrick Kluivert akionekana kufurahi na mtoto huyo
Nahodha huyo akiwa na watu wanaopinga mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi nchini wa
IMETOSHA
Patrick Kluivert akiwa tayari kwa ajili ya mchezo huo
Waziri wa michezo Dkt. Fenella Mukangara akisalimiana na Veterans wa Barcelona kabla ya kuanza
kwa mtanange huo wa kirafiki
kwa mtanange huo wa kirafiki
IMETOSHA SASA MAUAJI YA ALBINO
Ilikuwa mshike mshike baina ya Barcelona Veterans na Tanzania Veterans
Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa Shedrack Nsajigwa akimtoka mmoja wa veteran wa Barcelona
Goli la kwanza la Tanzania Veterans
Patrick Kluivert akitia saini kwa mashabiki wa Tanzania
Patrick Kluivert akiwa na mchezaji wa Tanzania Veterans
Barcelona Veterans ilishinda 2-1 dhidi ya Tanzania Veterans. Picha MichuziBlog
COMMENTS