Taarifa kwa Umma – Ufadhili wa Masomo Nchini China
HomeMatukio

Taarifa kwa Umma – Ufadhili wa Masomo Nchini China

  JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA NISHATI NA MADINI TAARIFA KWA UMMA – UFADHILI WA MASOMO NCHINI CHINA Wizara ya Nis...

MCHUNGAJI AFUMWA AKIVUNJA AMRI YA SITA NA MUUMINI WAKE TAZAMA VIDEO HAPA YOTE HAPA
KUTANA NA MTAALAMU ALIYEFANIKIWA KUANZISHA REDIO YAKE MWENYEWE
BREAKING NEWS: WATU 10 WAFARIKI DUNIA BAADA YA BASI LA NGORIKA NA RATCO KUGONGANA USO KWA USO




 

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA NISHATI NA MADINI

TAARIFA KWA UMMA – UFADHILI WA MASOMO NCHINI CHINA

Wizara ya Nishati na Madini inapenda kuwataarifu watanzania wenye vigezo vya kuomba nafasi za masomo ya shahada ya juu ya Uzamili (Postgratuate) katika fani ya gesi na mafuta katika Chuo Kikuu cha Jiosayansi  cha China kijulikanacho kama China University of Geosciences (Wuhan), Chini ya ufadhili wa Serikali ya Watu wa China,  kuwa muda wa kutuma maombi hayo umeongezwa hadi kufikia tarehe 30/03/2015.

Wizara ya Nishati na Madini inaendelea kuwasisitiza watanzania wenye vigezo kutumia fursa hii kwa  kujaza fomu zinazopatikana katika tovuti za http://www.csc.edu.cn/laihua au www.campuschina.org na www.mem.go.tz. Pia wanaweza kufika katika Ofisi za Wizara ya Nishati na Madini, ghorofa ya Tatu ili kupata taarifa husika.

IMETOLEWA NA;
WIZARA YA NISHATI NA MADINI
 20 Machi, 2015
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Taarifa kwa Umma – Ufadhili wa Masomo Nchini China
Taarifa kwa Umma – Ufadhili wa Masomo Nchini China
http://www.alfredweb.co.tz/stamico/wp-content/uploads/2014/10/mem-bulletin.gif
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2015/03/taarifa-kwa-umma-ufadhili-wa-masomo.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2015/03/taarifa-kwa-umma-ufadhili-wa-masomo.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy