ITALIA V HISPANIA LEO NUSU FAINALI EURO 2020
HomeMichezo

ITALIA V HISPANIA LEO NUSU FAINALI EURO 2020

 LEO Jumanne Uwanja wa Wembley kutakuwa na mchezo wa nusu fainali ya Euro 2020 kati ya Italia v Hispania. Rekodi zinaonyesha kuwa Italia ...


 LEO Jumanne Uwanja wa Wembley kutakuwa na mchezo wa nusu fainali ya Euro 2020 kati ya Italia v Hispania.

Rekodi zinaonyesha kuwa Italia imeshinda mara mbili mbele ya Hispania  ikiwa ni katika mchezo mmoja wa kirafiki na ule wa Euro 2016 hatua ya makundi baada ya kukutana mara 14 katika michuano tofauti.

Ndani ya michuano ya Euro watakuwa wanakutana kwa mara ya saba ambapo kwenye michuano hiyo mitatu iliyopita zilikutana hatua ya mtoano 2008 fainali ya 2012 ambapo Hispania ilitwaa ubingwa kwa kuifunga Italia mabao 4-0 huku 2016 Italia ikitolewa na Hispania.

Italia watakuwa wanacheza nusu fainali yao ya 12 dhidi ya Hispania ndani ya Euro na Kombe la Dunia.

Mpaka timu hizi zinakutana Italia katika michuano hii kwenye mechi zake tano haijapoteza kama ilivyo kwa Hispania. 



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: ITALIA V HISPANIA LEO NUSU FAINALI EURO 2020
ITALIA V HISPANIA LEO NUSU FAINALI EURO 2020
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgbD5vJnRbMoB_AvTcYFioL-uR9n1ak5NqM_w91SrjrOqWbiAj0Z-aMr7ZlKkjwS8nVqrDVyeXu9H3Gla1qleMlND3gvjY0dyG3_W0EQLQA8RaYmPEyfQhWy7us3cQUWrdZ7ppOemWVboMc/w640-h360/Italia+v+Hispania.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgbD5vJnRbMoB_AvTcYFioL-uR9n1ak5NqM_w91SrjrOqWbiAj0Z-aMr7ZlKkjwS8nVqrDVyeXu9H3Gla1qleMlND3gvjY0dyG3_W0EQLQA8RaYmPEyfQhWy7us3cQUWrdZ7ppOemWVboMc/s72-w640-c-h360/Italia+v+Hispania.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/italia-v-hispania-leo-nusu-fainali-euro.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/italia-v-hispania-leo-nusu-fainali-euro.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy