Sina uhakika kama Mbunge wa Monduli,Edward Lowassa anaweza kupata nafasi ya kupumzika awapo bungeni... Ni nadra na ...
Sina uhakika kama Mbunge wa Monduli,Edward Lowassa anaweza kupata nafasi ya kupumzika awapo bungeni...
Ni
nadra na mara nyingi haiwezi kutokea kumuona Lowassa akiwa
peke yake akipumzika bila ya kuwa na wabunge wengine katika
kiti cha pembeni kushoto kwake...
Mara anapoingia ndani ya ukumbi wa bunge,wabunge wengi humfuata kwa zamu na hata kusubiriana wakitaka kuzungumza naye.
Haijulikani ni kitu gani wanachozungumza naye,lakini ukweli ni kuwa Lowassa ni mbunge pekee anayeongoza kuzungumza na wabunge ndani ya ukumbi wa bunge..
Ni jambo ambalo wabunge wengine linaweza kushangaza kuwaona wenzao wakipanga foleni kwenda kuzungumza na kiongozi huyo wa zamani.

COMMENTS