Ni ile video ambayo Ay aliahidi kuitoa mwaka huu, ilikua ni ndoto yake kuona siku moja kufanya video na magari ya kunesanesa ambayo tu...
Ni ile video ambayo Ay aliahidi kuitoa mwaka huu, ilikua ni ndoto yake kuona siku moja kufanya video na magari ya kunesanesa ambayo tulizoea kuyaona kwenye video za kina Snoop Dogg.Hii video Ay kaifanya Marekani Ft. M Triniti na La’myia Good.
Angalia Hapa
COMMENTS