Staa wa muziki Robyn Fenty Maarufu “ Rihanna ” ametoa single mpya ‘ FourFiveseconds ‘ akiwashirikisha mastaa wenzake Kanye West pamoja na...
Tangu atoe nyimbo yake ya Jump Rihanna sasa amerudi upya na kuahidi mashabiki wake mambo mazuri zaidi ikiwa pamoja na kutoa albamu yake mpya mwaka huu
Sikiliza hapa
COMMENTS