Bunge lapokea taarifa kuhusu migogoro ya Ardhi.....Kamati teule yapendekeza Raia wa Kigeni Waporwe Ardhi kisha Watimuliwe Nchini
HomeHabariKitaifa

Bunge lapokea taarifa kuhusu migogoro ya Ardhi.....Kamati teule yapendekeza Raia wa Kigeni Waporwe Ardhi kisha Watimuliwe Nchini

Bunge limetakiwa kutoa azimio la kusitisha zoezi la utoaji wa vibali kwa raia wa kigeni kuishi, kufuga na kumiliki ardhi pamoja na kuf...

MTIBWA SUGAR YAWASUBIRI SIMBA AU POLISI FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI…
Zaidi ya vijana 500 wakamatwa Tanzania
YANGA HII SASA SIFA! YAINYONGA POLISI 4-0 KOMBE LA MAPINDUZI

Bunge limetakiwa kutoa azimio la kusitisha zoezi la utoaji wa vibali kwa raia wa kigeni kuishi, kufuga na kumiliki ardhi pamoja na kufuta vibali vyote vilivyopo na kuwataka raia wa kigeni wenye vibali hivyo kuondoka nchini mara moja.

Akiwasilisha Bungeni taarifa ya kamati teule iliyoundwa kuchunguza na kuchambua sera mbalimbali zinazohusu masuala ya ardhi, kilimo, mifugo, maji na uwekezaji ili kubaini kasoro zilizomo katika matumizi ya ardhi, Christopher Ole Sendeka amesema idara ya uhamiaji inahusika kwa kiasi kikubwa kutoa vibali kwa wageni bila ya kufuata utaratibu na kutaka vibali vyote vilivyopo vifutwe na wageni hao kuamriwa kuondoka nchini.
 
Aidha kamati hiyo teule imeirushia lawama serikali kwa kutokuwa na nia ya dhati ya kumaliza migogoro ya ardhi nchini licha ya watendaji wake kuwa na taarifa zote zinazohusu migogoro ya ardhi nchini.
 
Wakichangia mara baada ya kamati hiyo teule kuwasilisha taarifa yake bungeni baadhi ya wabunge wamehoji sababu ya serikali kutochukua hatua kwa baadhi ya viongozi wa serikali na wawekezaji wa kigeni wanaotwaa maeneo makubwa ya ardhi na kisha kuwakodishia wananchi kwa bei kubwa.
 
Akizungumza mara baada ya kuwasilishwa kwa kamati hiyo spika wa bunge hilo amewataka wabunge kuachana na itikadi za kisiasa wakati wa kujadili masuala ya kitaifa na kuwataka wabunge kuacha kulalamika na kufanya kazi yao ya kuisimamia serikali kwa manufaa ya wananchi.


Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Bunge lapokea taarifa kuhusu migogoro ya Ardhi.....Kamati teule yapendekeza Raia wa Kigeni Waporwe Ardhi kisha Watimuliwe Nchini
Bunge lapokea taarifa kuhusu migogoro ya Ardhi.....Kamati teule yapendekeza Raia wa Kigeni Waporwe Ardhi kisha Watimuliwe Nchini
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj-TEx__d-JqEfikFgipMVR4zoOLlp3PoOssIDXjEGKH5HUKxXIh6GLLNVvLrihBfFOMNH_Ax0DPvtGBrCWZVYhbULiCMbszcEslUt2C7kWOiM-5ATh29LbkVILqwzGZsvnEXhclYz5y8w/s640/1.png
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj-TEx__d-JqEfikFgipMVR4zoOLlp3PoOssIDXjEGKH5HUKxXIh6GLLNVvLrihBfFOMNH_Ax0DPvtGBrCWZVYhbULiCMbszcEslUt2C7kWOiM-5ATh29LbkVILqwzGZsvnEXhclYz5y8w/s72-c/1.png
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2015/02/bunge-lapokea-taarifa-kuhusu-migogoro.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2015/02/bunge-lapokea-taarifa-kuhusu-migogoro.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy