Ukinunua na kuuza bidhaa dai risiti Ili kuepusha usumbufu : Shaga Gagunda
HomeHabariTop Stories

Ukinunua na kuuza bidhaa dai risiti Ili kuepusha usumbufu : Shaga Gagunda

Jamii imetakiwa kutambua umuhimu wa kuchukua risiti za kielectroniki pindi wanapo nunua bidhaa ili kushiriki vyema katika ulipaji wa kodi kw...

Jamii imetakiwa kutambua umuhimu wa kuchukua risiti za kielectroniki pindi wanapo nunua bidhaa ili kushiriki vyema katika ulipaji wa kodi kwa maendeleo ya taifa.

Hayo yamezungumzwa na Shaga Gagunda Ofisa Elimu kwa Mlipa kodi na mawasiliano kutoka Mamlaka ya mapata Tanzania TRA

Mkoa wa Iringa wakati akizungumza na wanafunzi wa shule ya sekondari Mwembetogwa iliyopo Manispaa ya Iringa na kubainisha kuwa ni wajibu wa mfanyabiashara kutoa risiti pindi afanyapo mauzo pasina kuangalia mauzo aliyoyafanya.

Gagunda amesema kuwa ikibainika mnunuzi hajadai risiti atakabiliwa na adhabu ya faini ya shilingi elfu 40 na muuzaji kwa kutotoa risiti adhabu yake ni faini ya million 2 na isiyozidi million nne kwa kukwepa kulipa kodi.

“…tukumbuke kwamba kuna adhabu kwa kushindwa kudai risiti kwako mnunuzi ambayo ni shilingi elfu 40 au asilimia 20 ya kodi iliyokwepwa na kuna adhabu ya kutotoa ni asilimia 20 ya thamani ya bidhaa iliyouzwa bila risiti au shilingi milioni mbili lakini hiyo adhabu haitakiwa kuzidi milioni 4 kwa kosa moja…”amesema gagunda

Wakizungumza mara baada ya kupata elimu ya umuhimu wa kudai risiti wanafunzi wa shule ya sekondari mwembetogwa wameishukuru TRA kwa kuwafikisha elimu hiyo na sasa wametambua umuhimu wake.

Bakari mbaga ni Mwalimu katika shule ya sekondari mwembetogwa ametoa wito wa kufunguliwa TRA klabu mashuleni ili kupata mabalozi watakaohamasisha jamii kutambua umuhimu wa kutoa na kudai risiti katika makazi yao.

“…elimu hii waliyoipata wanafunzi itawasaidia katika maisha yao ya kila siku kwani ni muhimu sana kufika katika shule mbali ili watoto watambue wakitumwa kununua bidhaa hawatakiwi kuchukua bila risiti hivyo mamlaka hii ifungue club za kodi vijana wafundishwe masuala ya kodi na wawe mabalozi watokapo…” amesema mbaga

The post Ukinunua na kuuza bidhaa dai risiti Ili kuepusha usumbufu : Shaga Gagunda first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/sZdRWct
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Ukinunua na kuuza bidhaa dai risiti Ili kuepusha usumbufu : Shaga Gagunda
Ukinunua na kuuza bidhaa dai risiti Ili kuepusha usumbufu : Shaga Gagunda
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2025/02/IMG-20250201-WA0009-950x633.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2025/02/ukinunua-na-kuuza-bidhaa-dai-risiti-ili.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2025/02/ukinunua-na-kuuza-bidhaa-dai-risiti-ili.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy