Rasmi Swissport yaingia makubaliano na Shirika la Ndege la Ufaransa na KLM “Kiwanja cha Julius Nyerere”
HomeHabariTop Stories

Rasmi Swissport yaingia makubaliano na Shirika la Ndege la Ufaransa na KLM “Kiwanja cha Julius Nyerere”

Kampuni ya Swissport Tanzania imeingia makubaliano ya kufanyakazi na Shirika la Ndege la Ufaransa na KLM katika Kiwanja cha Ndege cha Kimata...

Kampuni ya Swissport Tanzania imeingia makubaliano ya kufanyakazi na Shirika la Ndege la Ufaransa na KLM katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA).

Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mkuu wa kampuni hiyo Tanzania, Mrisho Yassin maandalizi yamekamilika na timu yake imefanya kazi kubwa na anaamini huduma za kampuni ya Swissport zitafikia matarajio ya kampuni hiyo ya Ufaransa.

 

“Hatua hii ni muhimu sana kwa kampuni yetu ambayo historia inaonesha ilishawahi kufanya kazi na ndege za shirika la KLM miaka mitano iliyopita likaenda kwa washindani wetu. Tuna furaha leo wamerudi tena kwetu,” alisema Yassin.

Alisema pia safari hii KLM haiko yenyewe bali itakuwa na mshirika wake katika biashara ambaye ni Shirika la Ndege la Ufaransa hivyo kwa mara ya kwanza Swissport itafanyakazi na shirika hilo la Ufaransa.

“Tunaposherehekea kufanyakazi na Shirika la Ndege la Ufaransa, Dar es Salaam kitu hichohicho kinafanyika mkoani Kilimanjaro ambako operesheni za KLM zinaendelea,” alisema.

The post Rasmi Swissport yaingia makubaliano na Shirika la Ndege la Ufaransa na KLM “Kiwanja cha Julius Nyerere” first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/yhHUNaX
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Rasmi Swissport yaingia makubaliano na Shirika la Ndege la Ufaransa na KLM “Kiwanja cha Julius Nyerere”
Rasmi Swissport yaingia makubaliano na Shirika la Ndege la Ufaransa na KLM “Kiwanja cha Julius Nyerere”
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2024/10/IMG-20241005-WA0014-950x531.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/10/rasmi-swissport-yaingia-makubaliano-na.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/10/rasmi-swissport-yaingia-makubaliano-na.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy