Rais Magufuli avunja Jiji la Dar es Salaam
HomeHabari

Rais Magufuli avunja Jiji la Dar es Salaam

 Rais Dkt. John Magufuli kwa mamlaka aliyonayo ameivunja Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kuanzia  Februari 24, 2021. Taarifa iliyo...


 Rais Dkt. John Magufuli kwa mamlaka aliyonayo ameivunja Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kuanzia  Februari 24, 2021.

Taarifa iliyotolewa na Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo imeeleza kuwa Rais ameipandisha hadhi Halmashauri ya Manispaa ya Ilala kuwa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam .


Uamuzi huo umekuja muda mfupi  baada ya jana  Rais Magufuli kutangaza nia ya kuvunja Jiji la Dar es Salaam wakati akihutubia wananchi kwenye hafla ya uzinduzi wa Daraja la Juu la Kijazi.

Katika hotuba hiyo alisema kuwa anavunja jiji hilo kwa sababu viongozi wake hawana eneo wanalowawakilisha wananchi licha ya kuwa hutengewa bajeti na posho, jambo ambalo si matumizi mazuri ya fedha za umma.

“Kuwa na madiwani ambao wanakaa hapa juu, wanachangiwa hela, hawana miradi ya maendeleo, wanakula posho na hawakuchaguliwa na watu, hili nitalikata,” amlieleza Dkt. Magufuli.

Katika taarifa yake, Waziri Jafo amesema kuwa waliokuwa watumishi wa halmashauri ya jiji iliyovunjwa watapangiwa vituo vipya vya kazi na pia taratibu za kuhamisha shughuli za halmashauri iliyovunjwa kwenda halmashauri mpya ya jiji zinaendelea.



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Rais Magufuli avunja Jiji la Dar es Salaam
Rais Magufuli avunja Jiji la Dar es Salaam
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi2hikzzmQltGkbtiH-SVQyuSd7HUIq_MkRtfd0TjLrViLm9FPknnPx0dueIrmHU44nUMQuLBTYKzbBzjsbbBJp4CuBdkYtAEjdbl63hMDe3z85t9jsmNEpzVGfv0Jura25QZEFk7Qet2WW/s16000/5.png
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi2hikzzmQltGkbtiH-SVQyuSd7HUIq_MkRtfd0TjLrViLm9FPknnPx0dueIrmHU44nUMQuLBTYKzbBzjsbbBJp4CuBdkYtAEjdbl63hMDe3z85t9jsmNEpzVGfv0Jura25QZEFk7Qet2WW/s72-c/5.png
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/rais-magufuli-avunja-jiji-la-dar-es.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/rais-magufuli-avunja-jiji-la-dar-es.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy