RC Mwassa ahaidi kuendelea kutoa ushirikiano kwa wawekezaji Kagera
HomeHabariTop Stories

RC Mwassa ahaidi kuendelea kutoa ushirikiano kwa wawekezaji Kagera

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Hajat Fatma Mwassa ameahidi kuendelea kutoa ushirikiano kwa wawekezaji Mkoani Kagera lengo ikiwa ni kuzidi kukuza uch...

Wakandarasi wasimamiwe kutekeleza miradi ya nishati kwa wakati – Kapinga
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 24, 2025
PICHA :Rais Samia alipowasili Uwanja wa Shule ya Msingi Mkata Mashariki

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Hajat Fatma Mwassa ameahidi kuendelea kutoa ushirikiano kwa wawekezaji Mkoani Kagera lengo ikiwa ni kuzidi kukuza uchumi wa Mkoa huo na kutoa ajira kwa watu wengi.

Ameyasema hayo wakati akiongea na wahitimu,wanachuo na baadhi ya wananchi waliohudhuria mahafali ya saba ya wahitimu wa Chuo Cha King Rumanyika kilichopo manispaa ya Bukoba,kilichoanzishwa na Mkurugenzi Godson Gypson Rwegasira ambaye pia ni Mstahiki meya wa manispaa ya Bukoba.

Awali mstahiki Meya wa manispaa ya Bukoba Gypson Rwegasira ameseama kuwa pamoja na kozi nyingine wameamua kuunga mkono juhudi za Rais Samia upande wa elimu ambapo wameanzisha mpango maalumu wa kufadhili sehemu ya gharama za mafunzo kwa walimu wa shule za msingi waliopo kazini ambao wanajiendeleza kwa upande wa (Diploma) wanasomeshwa kwa mchango wa chuo hicho kwa kushirikiana na baadhi wa wabunge wa majimbo yaliyopo Mkoani humo.

Mkuu wa Mkoa Mwassa amepongeza jitihada hizo huku akiahidi kuendelea kuwa nao karibu ili kuhakikisha wanazidi kufanya vizuri na kuwasaidia vijana wa Kitanzania kupitia Elimu huku akiwashauri wahitimu kutumia fursa za kiuchumi zinazotolewa na Rais Samia ili waweze kujikwamua kiuchumi.

 

The post RC Mwassa ahaidi kuendelea kutoa ushirikiano kwa wawekezaji Kagera first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/FpiGSwn
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: RC Mwassa ahaidi kuendelea kutoa ushirikiano kwa wawekezaji Kagera
RC Mwassa ahaidi kuendelea kutoa ushirikiano kwa wawekezaji Kagera
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2025/01/IMG-20250126-WA0043-950x534.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2025/01/rc-mwassa-ahaidi-kuendelea-kutoa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2025/01/rc-mwassa-ahaidi-kuendelea-kutoa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy