Ni Agosti 2, 2024 Ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Morogoro katika en...
Ni Agosti 2, 2024 Ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Morogoro katika eneo la Stesheni ya Morogoro wakati akielekea Dodoma kwa Usafiri wa Treni ya Kisasa ya (SGR). Mhe. Rais Dkt. Samia amezindua rasmi huduma za Usafiri wa Treni hiyo kuanzia eneo la Kilometa 0 Stesheni Jijini Dar es Salaam – Morogoro hadi Dodoma.
Hizi ni picha mbalimbali za Uzinduzi wa Treni hiyo mpya ya kisasa ya SGR.













The post Picha mbalimbali za Uzinduzi wa Treni mpya ya kisasa SGR first appeared on Millard Ayo.
from Millard Ayo https://ift.tt/ZNbrtD5
COMMENTS