Washiriki wa mkutano wajengewa uwezo katika upigaji wa shabaha
HomeHabariTop Stories

Washiriki wa mkutano wajengewa uwezo katika upigaji wa shabaha

Katika kuhakikisha askari wa Kike wanakuwa imara na mahiri katika kila nyanja wanazohudum Suala la kujengewa umahiri katika ulengaji wa Shab...

Naibu Katibu mkuu wizara ya madini asisitiza uwajibikaji weledi na ubunifu katika utekelezaji wa majukumu
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 22, 2025
Waziri Silaa azindua kampeni ya SITAPELIKI,itapambana na utapeli

Katika kuhakikisha askari wa Kike wanakuwa imara na mahiri katika kila nyanja wanazohudum Suala la kujengewa umahiri katika ulengaji wa Shaba kwa askari hao likatolewa na wabobezi wa shabaha (Sniper) kutoka Jeshi la Polisi Nchini Marekani.

 

Miongoni mwa askari wa kike waliopata mafunzo ya ukupigaji shabaha nchini humo ni Koplo wa Jeshi la Polisi Kutoka Nchini Tanzania CPL Salome Masanyiwa ambaye amepata fursa hiyo amebainisha kuwa mafunzo hayo yamemjenga na kumuongezea umahiri katika upigaji wa shabaha tofauti na kipindi cha Nyuma.

 

Aidha CPL Salome amesisitiza kuwa mafunzo hayo yamemuongezea utaalam katika matumizi ya silaha na ulengaji wa shabaha huku akiweka wazi kuwa anakwenda kupeleka ujuzi huo alioupata kwa askari wengine kutoka nchini Tanzania ambao hawakupata fursa ya mafunzo hayo.

 

The post Washiriki wa mkutano wajengewa uwezo katika upigaji wa shabaha first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/BVYhk4D
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Washiriki wa mkutano wajengewa uwezo katika upigaji wa shabaha
Washiriki wa mkutano wajengewa uwezo katika upigaji wa shabaha
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2024/09/IMG-20240905-WA0024-950x633.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/09/washiriki-wa-mkutano-wajengewa-uwezo.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/09/washiriki-wa-mkutano-wajengewa-uwezo.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy