Mati Super Brand yapewa tuzo maalum na chuo cha Ukamanda na Unadhimu
HomeHabariTop Stories

Mati Super Brand yapewa tuzo maalum na chuo cha Ukamanda na Unadhimu

Kampuni ya Mati Super Brands Limited inayozalisha vinywaji changamshi yenye makao yake Makuu Mjini Babati Mkoani Manyara imepewa tuzo ya maa...

Mkilipa $44 mtatibiwa hapa Lumumba Zanzibar
Mamlaka ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya nchini yaanza uchunguzi wa Skanka zinazodaiwa kusindikwa
Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 13, 2024

Kampuni ya Mati Super Brands Limited inayozalisha vinywaji changamshi yenye makao yake Makuu Mjini Babati Mkoani Manyara imepewa tuzo ya maalumu kutoka Chuo cha Ukamanda na Unadhimu (CSC) kwa kutambua mchango wa kampuni hiyo katika kusaidia jamii inayowazunguka Pamoja na kushirikiana na taasisi mbali mbali za kiserikali.

Akizungumza mara baada ya kukabidhiwa tuzo hiyo na Mwakilishi wa Mkuu wa Chuo cha Ukamanda na Unadhimu (CSC) chenye makao yake Mkoani Arusha , Colonel Verus Chrysostom Mbuzi katika ziara maalumu ya kimafunzo iyofanywa na Maafisa hao wa ngazi za juu wa Kijeshi kutoka mataifa mbali mbali katika kampuni ya Mati Super Brands Ltd.

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mati Super Brands Limited David Mulokozi ametoa shukrani zake kwa Chuo hicho cha kijeshi kwa kutambua mchango wa kampuni hiyo katika masuala mbali mbali ikiwemo kurudisha sehemu ya faida wanayoipata kwa jamii inayowazunguka.

Mulokozi amesema kuwa Tuzo hiyo inawapa chachu ya kuendelea kufanya vizuri kuendelea kushirikiana na taasisi za umma Pamoja na kuzalisha bidhaa bora zinazozingatia ubora na usalama wa mtumiaji.

Mwakilishi wa Mkuu wa Chuo cha Ukamanda na Unadhimu (CSC) , Colonel Verus Chrysostom Mbuzi amepongeza Kiwanda kwa kuwa karibu na jamii na taasisi za serikali pamoja na kutoa fursa wa mafunzo kwa vitendo vya Maafisa wa Kijeshi juu ya masuala mbali mbali ikiwemo usalama wa chakula.

 

The post Mati Super Brand yapewa tuzo maalum na chuo cha Ukamanda na Unadhimu first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/SDltMUA
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Mati Super Brand yapewa tuzo maalum na chuo cha Ukamanda na Unadhimu
Mati Super Brand yapewa tuzo maalum na chuo cha Ukamanda na Unadhimu
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2024/08/IMG-20240831-WA0061-950x592.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/08/mati-super-brand-yapewa-tuzo-maalum-na.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/08/mati-super-brand-yapewa-tuzo-maalum-na.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy