HomeHabariTop Stories

Takriban watu 25 wamefariki na wengine 53 kujeruhiwa katika ajali ya lori Nigeria

Takriban watu 25 wamefariki na wengine 53 kujeruhiwa baada ya lori kuanguka katika jimbo la kaskazini la Kano siku ya Jumatatu, mamlaka ilis...

Takriban watu 25 wamefariki na wengine 53 kujeruhiwa baada ya lori kuanguka katika jimbo la kaskazini la Kano siku ya Jumatatu, mamlaka ilisema.

Ofisa wa usalama barabarani wa Jimbo la Kano Ibrahim Abdullahi alisema uchunguzi wa awali ulionyesha dereva wa gari hilo alishindwa kulimudu na kusababisha kuacha barabara ya Kano-Zaria, barabara kuu inayounganisha Kano na jimbo jirani la Kaduna.

Abdullahi alisema ajali hiyo ilitokea mwendo wa saa tatu asubuhi kwa saa za huko (0200hrs GMT).

Askari wa usalama barabarani alisema lori lilikuwa limejaa kupita kiasi wakati ajali hiyo ilipotokea.

Gari hilo pia lilikuwa likisafirisha mifugo wakiwemo mbuzi na kondoo pamoja na nafaka.

“Madaktari walithibitisha kuwa wahasiriwa 25 waliuawa katika ajali hiyo,” Abdullahi alisema, kama alivyonukuliwa na Redio inayomilikiwa na serikali Nigeria.

The post Takriban watu 25 wamefariki na wengine 53 kujeruhiwa katika ajali ya lori Nigeria first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/d8AyBM6
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Takriban watu 25 wamefariki na wengine 53 kujeruhiwa katika ajali ya lori Nigeria
Takriban watu 25 wamefariki na wengine 53 kujeruhiwa katika ajali ya lori Nigeria
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/07/takriban-watu-25-wamefariki-na-wengine.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/07/takriban-watu-25-wamefariki-na-wengine.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy