Waziri Jafo aiagiza FCC kufwatilia mikataba ya wawekezaji wazawa na wageni hususani mikataba ya sekta ya madini
HomeHabariTop Stories

Waziri Jafo aiagiza FCC kufwatilia mikataba ya wawekezaji wazawa na wageni hususani mikataba ya sekta ya madini

WAZIRI wa Viwanda na Biashara Mheshimiwa Selemani Jafo ameiagiza Tume ya Ushindani nchini (FCC) kuhakikisha wanafuatilia kwa ukaribu mikatab...

WAZIRI wa Viwanda na Biashara Mheshimiwa Selemani Jafo ameiagiza Tume ya Ushindani nchini (FCC) kuhakikisha wanafuatilia kwa ukaribu mikataba baina ya wawekezaji wazawa na wageni mara baada ya kubaini kuwa makampuni kutoka nje kuingia mikataba kinyume na utaratibu hususani kwenye Sekta ya Madini jambo ambalo linapelekea kuporwa vitalu vyao na mabilioni ya fedha kwenda nje ya nchi na Wawekezaji wa Tanzania kubaki maskini.

Ameyasema hayo leo Jijini Dar es Salaam Waziri wa Viwanda na Biashara Mheshimiwa Selemani Jafo wakati alipofanya ziara kwenye ofisi za FCC ikiwa ni siku yake kwanza tokea alipoteuliwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Waziri kwenye wizara hiyo huku akisisitiza Taasisi hiyo kuendelea kutimiza majukumu yao kwa sababu Serikali na Watanzania wanawategemea katika kuhakikisha Sekta nzima ya biashara inakuwa na kuleta tija.

Kwa upande wao Mwenyekiti wa Tume ya Ushindani (FCC) Dkt. Aggrey Kalimwage Mlimuka na Mkurugenzi Mkuu wa FCC Bw. William Erio wamesema kuwa wamepokea maagizo hayo katika kuhakikisha wanatatua changamoto hiyo na kuendelea kurekebisha sheria ambazo zitakuwa na faida kwa pande zote mbili ili kuendelea kuweka mazingira wezeshi ya biashara na kuvutia wawekezaji.

The post Waziri Jafo aiagiza FCC kufwatilia mikataba ya wawekezaji wazawa na wageni hususani mikataba ya sekta ya madini first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/gvYpOV0
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Waziri Jafo aiagiza FCC kufwatilia mikataba ya wawekezaji wazawa na wageni hususani mikataba ya sekta ya madini
Waziri Jafo aiagiza FCC kufwatilia mikataba ya wawekezaji wazawa na wageni hususani mikataba ya sekta ya madini
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2024/08/f456e4aa-14fc-429f-966b-873460156e5f-950x633.jpeg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/08/waziri-jafo-aiagiza-fcc-kufwatilia.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/08/waziri-jafo-aiagiza-fcc-kufwatilia.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy