Wananchi Watakiwa Kuyatumia Mabaraza Ya Ardhi Kupata Suluhu Ya Migogoro Ya Ardhi
HomeHabari

Wananchi Watakiwa Kuyatumia Mabaraza Ya Ardhi Kupata Suluhu Ya Migogoro Ya Ardhi

 Na. Hassan Mabuye, Dodoma Msajili wa Mabaraza ya Ardhi na Nyumba nchini Bibi Stela Tulo amesema kumekuwa na tabia ya baadhi ya wananchi...


 Na. Hassan Mabuye, Dodoma
Msajili wa Mabaraza ya Ardhi na Nyumba nchini Bibi Stela Tulo amesema kumekuwa na tabia ya baadhi ya wananchi walio na migogoro ya ardhi kutofuata ngazi na taratibu za kupata haki katika migogoro yao ya ardhi na kuacha kutumia vyombo vilivyowekwa kwa mujibu wa sheria jambo linachangia migogoro ya ardhi kutopata suluhu kwa wakati.

Tulo alisema hayo jana tarehe 29 Februari 2021 katika maonesho ya Wiki ya Sheria yanayoendelea kuadhimishwa na vyombo mbalimbali vya sheria, haki na mahakama katika viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma.


Kwa mujibu wa Msajili wa Mabaraza ya Ardhi na Nyumba nchini, vyombo vinavyohusika kisheria kutoa haki katika migogoro ya ardhi ni kuanzia ngazi ya Baraza la Ardhi la Kijiji, Kata, Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya, Mahakama Kuu kitengo cha Ardhi na Mahakama ya Rufaa.

Alisema, iwapo wananchi walio kwenye migogoro ya ardhi watafuata utaratibu wa kutumia vyombo vilivyowekwa kwa mujibu wa sheria wataweza kupata haki zao na wakati huo na kuepuka kupoteza muda mwingi wa kukata rufani kuhusiana na migogoro ya ardhi.

Aidha, Tulo alitumia fursa ya Maonesho ya Wiki ya Sheria yanayoendelea kuwataka wananchi wa jiji la Dodoma na mikoa jirani kujitokeza kwa wingi kwenye maonesho hayo ili kupata elimu kuhusiana na Mabaraza ya Ardhi na hivyo kujua taratibu za kutafuta wakati wa migogoro ya ardhi.

Maadhimisho ya Wiki ya Sheria yanafanyika kitaifa mkoani Dodoma katika viwanja vya Nyerere Square kuanzia Januari 23 hadi januari 29, 2021



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Wananchi Watakiwa Kuyatumia Mabaraza Ya Ardhi Kupata Suluhu Ya Migogoro Ya Ardhi
Wananchi Watakiwa Kuyatumia Mabaraza Ya Ardhi Kupata Suluhu Ya Migogoro Ya Ardhi
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjRmJe_3jGV7WdYeHhCmkgAtcA4xEUZvTGqZZJ6hldFKgT_b0fZdGSBitrjQ5DPbF0zSOIL7URlONONm39_CtGZG0wQwlJeu5QH8Pgq49Q8CzsVdbNk5VOIfhcA-gkTYfIsRWJYOLX3FPeJ/s16000/PIC+1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjRmJe_3jGV7WdYeHhCmkgAtcA4xEUZvTGqZZJ6hldFKgT_b0fZdGSBitrjQ5DPbF0zSOIL7URlONONm39_CtGZG0wQwlJeu5QH8Pgq49Q8CzsVdbNk5VOIfhcA-gkTYfIsRWJYOLX3FPeJ/s72-c/PIC+1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/01/wananchi-watakiwa-kuyatumia-mabaraza-ya.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/01/wananchi-watakiwa-kuyatumia-mabaraza-ya.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy