Waziri Bashungwa aagiza watumishi 12 waliohama kwa kugushi barua kuchukuliwa hatua
HomeHabari

Waziri Bashungwa aagiza watumishi 12 waliohama kwa kugushi barua kuchukuliwa hatua

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Innocent Bashungwa amemuagiza Naibu Katibu mkuu anayeshughul...

Habari kubwa Magazetini Kenya leo July 15, 2024
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo July 15, 2024
Alvarez ‘anaomba kuondoka’ baada ya kukataa mkataba mpya wa City.


Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Innocent Bashungwa amemuagiza Naibu Katibu mkuu anayeshughulikia TAMISEMI, Ramadhani Kailima kuwafuatilia watumishi 12 mkoani Tanga waliogushi barua za uhamisho, ili warudishwe kwenye vituo vyao vya kazi haraka iwezekanavyo.

Pia ameagiza watumishi hao 12 wachukuliwe hatua za kinidhamu kwa kosa la kugushi nyaraka za serikali.

Waziri Bashungwa ametoa agizo hilo wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari kuhusu matokeo ya taarifa ya ukaguzi wa hesabu za Mamlaka za Serikali za Mitaa kwa mwaka wa fedha wa 2020/2021


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Waziri Bashungwa aagiza watumishi 12 waliohama kwa kugushi barua kuchukuliwa hatua
Waziri Bashungwa aagiza watumishi 12 waliohama kwa kugushi barua kuchukuliwa hatua
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgFq3XNyXlRmzdlibtdRi03hKUY_wronIkSmD7TP7YwgLFEsDKd_JEEium20Ch5LWfdtNMNPdNkzPPK5jEmrhLY4oIti6vuA7OT4S_qK0hSpIW95O8gWZnHijB2d3OtN6Rur_CSKUWCy-QpltwLqGoTeIpFlLGWqNxcSupnPaG3JRCfeZ_-JGD1z1UUkQ/s16000/1.jpeg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgFq3XNyXlRmzdlibtdRi03hKUY_wronIkSmD7TP7YwgLFEsDKd_JEEium20Ch5LWfdtNMNPdNkzPPK5jEmrhLY4oIti6vuA7OT4S_qK0hSpIW95O8gWZnHijB2d3OtN6Rur_CSKUWCy-QpltwLqGoTeIpFlLGWqNxcSupnPaG3JRCfeZ_-JGD1z1UUkQ/s72-c/1.jpeg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2022/05/waziri-bashungwa-aagiza-watumishi-12.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2022/05/waziri-bashungwa-aagiza-watumishi-12.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy