Rais wa Yanga SC akabidhiwa rasmi ofisi
HomeHabariTop Stories

Rais wa Yanga SC akabidhiwa rasmi ofisi

Rais wa Yanga SC na Rais wa Chama cha Vilabu barani Afrika (ACA) Hersi Said leo amekabidhiwa rasmi Ofisi na sasa Makao Makuu ya ACA yatakuwa...

Rais wa Yanga SC na Rais wa Chama cha Vilabu barani Afrika (ACA) Hersi Said leo amekabidhiwa rasmi Ofisi na sasa Makao Makuu ya ACA yatakuwa nchini Morocco.

Hersi amekabidhiwa ofisi hiyo iliyoidhinishwa na CAF na Rais wa Shirikisho la soka Morocco, Fouzi Lekjaa na baada ya makabidhiano hayo, Hersi na Watendaji wengine wa ACA watafanya uzinduzi rasmi wa ofisi hiyo kesho.

Awali Shirikisho la soka Afrika CAF lilikuwa limependekeza nchi za Morocco, Afrika Kusini na Kenya moja wapo ndio iwe Makao Makuu ya ACA.

The post Rais wa Yanga SC akabidhiwa rasmi ofisi first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/rQtzLlg
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Rais wa Yanga SC akabidhiwa rasmi ofisi
Rais wa Yanga SC akabidhiwa rasmi ofisi
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2025/01/92e27646-9b33-40ef-929e-8bcdc69407c8-950x634.jpeg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2025/01/rais-wa-yanga-sc-akabidhiwa-rasmi-ofisi.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2025/01/rais-wa-yanga-sc-akabidhiwa-rasmi-ofisi.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy